zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
This is amazing,
Naanza kuona jinsi ambavyo,
Vikampuni vya simu za mikononi,
vitatoweka vyenyewe bila,
kuguswa.
Naanza kuona jinsi serikalizitakavyo
shindwa kukopu na kasi hii ya ukuaji.
Itakuwa rahisi kabisa kufuatilia,
kwa ukaribu mienendo ya wanyama wetu,
mbugani 24/7.
In short kila kitu kitafutailiwa in real Time,
bila kelele wala mikwaruzo.
Hii kitu ingetafsriwa kiswahili,
wengi waweze kuielewa angalau,
kiduchu ingesaidia sana.