masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,625
- 14,591
Kwa tuliopita Development Studies wakati wa kuchukua digree zetu za kwanza, kwa sasa tunaingia kipindi cha ubepari ambapo kuna a direct class strggle kati ya the haves and the have nots.
Kwa miaka sasa tumeona ubepari mzito mzito ukiingia, na sera nzuri nzuri za kuremba uwekezaji, ili mabepari waweze kufaidika maradufu na fedha zao nchini kwetu.
Na kweli uwekezaji umeingia kwa kasi, na tunaambiwa hata uchumi unakua kwa kasi ya 7%.
Kitu tunachokiona kwa macho ni majengo marefu yanayokua kama uyonga hasa jijini Dsm na miji mingine kama Mwanza.
Hata hivyo kwa upande wa pili, sera za kuwaendeleza wananchi (social participation policies) zimekuwa haziendani na kukua huko kwa uchumi.
Wananchi wa kawaida wanazidi kuachwa nyuma kimapato na haionekani kama wanafaidika sana na maendeleo wanayoyaona.
Kwa sasa ni dhahiri, ruling class imeji align na the bourgeoise(the wealthy class), wakati sera za kuzatiti kundi la wenyeji na wafanyakazi wa hali ya chini(proletariat) zinazidi kutopata kipaumbele kinachohitajika.
Dalili za kupinga mgawanyiko huu kati ya the haves na the have nots, ndo tunapata vijana walio katika extreme end ya the have nots: Panya Road.
Katika hii struggle nguvu ya polisi haitasaidia sana mpaka hapo the have nots nao watakaposhirikishwa katika kufaidika na maendeleo ya jamii.
Mahsusi hili ndio bomu lenyewe ambalo limekuwa likiongekewa kwa miaka sasa kutokana na kutoshughulikiwa na matatizo ya kushirikisha kwa makini matatizo ya wanyonge , hususan vijana katika mipango ya maendeleo.
Mimi sioni mwisho mwema katika hii struggle maana hata wakiwepo kina Kova kumi, vijana wale wasio na kazi wako pake pale.
Suluhisho ni kwa kuanzia tu, ipatikane miradi mikubwa ya maendeleo sehemu zote nchini, itakayo buniwa mahsusi ku ajiri hii idle resource kwa maana ya vijana, ili waweze kuchangia uchumi na vile vile wajipatie kazi, hivyo kutoka katika vikundi vya kihalifu kama Panya Road.
Tafsiri ni ile ile mkuu, sema tu kama hukuelewa.Una pointi lakini title ya kiingereza umefanya ujumbe kuwa wa hovyo
Tofauti ya kipato kati ya wakubwa walionacho, na wadogo walalahoi inaendelea kukua, tena kwa kasi.....
Dr Slaa alionya mapema kuhusu matabaka ....

Mmmmm ni kweli.Kwa tuliopita Development Studies wakati wa kuchukua digree zetu za kwanza, kwa sasa tunaingia kipindi cha ubepari ambapo kuna a direct class strggle kati ya the haves and the have nots.
Kwa miaka sasa tumeona ubepari mzito mzito ukiingia, na sera nzuri nzuri za kuremba uwekezaji, ili mabepari waweze kufaidika maradufu na fedha zao nchini kwetu.
Na kweli uwekezaji umeingia kwa kasi, na tunaambiwa hata uchumi unakua kwa kasi ya 7%.
Kitu tunachokiona kwa macho ni majengo marefu yanayokua kama uyonga hasa jijini Dsm na miji mingine kama Mwanza.
Hata hivyo kwa upande wa pili, sera za kuwaendeleza wananchi (social participation policies) zimekuwa haziendani na kukua huko kwa uchumi.
Wananchi wa kawaida wanazidi kuachwa nyuma kimapato na haionekani kama wanafaidika sana na maendeleo wanayoyaona.
Kwa sasa ni dhahiri, ruling class imeji align na the bourgeoise(the wealthy class), wakati sera za kuzatiti kundi la wenyeji na wafanyakazi wa hali ya chini(proletariat) zinazidi kutopata kipaumbele kinachohitajika.
Dalili za kupinga mgawanyiko huu kati ya the haves na the have nots, ndo tunapata vijana walio katika extreme end ya the have nots: Panya Road.
Katika hii struggle nguvu ya polisi haitasaidia sana mpaka hapo the have nots nao watakaposhirikishwa katika kufaidika na maendeleo ya jamii.
Mahsusi hili ndio bomu lenyewe ambalo limekuwa likiongekewa kwa miaka sasa kutokana na kutoshughulikiwa na matatizo ya kushirikisha kwa makini matatizo ya wanyonge , hususan vijana katika mipango ya maendeleo.
Mimi sioni mwisho mwema katika hii struggle maana hata wakiwepo kina Kova kumi, vijana wale wasio na kazi wako pake pale.
Suluhisho ni kwa kuanzia tu, ipatikane miradi mikubwa ya maendeleo sehemu zote nchini, itakayo buniwa mahsusi ku ajiri hii idle resource kwa maana ya vijana, ili waweze kuchangia uchumi na vile vile wajipatie kazi, hivyo kutoka katika vikundi vya kihalifu kama Panya Road.
Matatizo kama tunayoyaona ni lazima yashughilikiwe kisomi.Tatizo wewe binafsi ndio umekuwa meza ya hiari ambayo hawa ma-architect wa huu mfumo wameweka drawing board yao. Hiki unachokiandika ni unafiki na machozi ya mamba kwa panya road.
Very true mkuu!!Huu uzi ungetakiwa uwe na page zaidi ya arobaini....kutokana na hali halisi ya hapa nchini mwetu...Watanzania ni kama tuna mitindio wa ubongo.....bado watu wanajionea sawa tu kwa namna mambo yanavyoendeshwa nchini...wanajionea kuwa umaskini na dhiki zinazotukabili ni mipango ya Mungu..na wameamua kumuachia mungu....wakati Mungu kawapa ufahamu wa kuyatafakali mambo kwa kina.....
Watanzania wengi vichwa vyetu tumevielekeza kwenye mahaba na umbea pekee....huu uzi kama ungekuwa wa mapenzi au unamzungumzia mtu flani sasa hivi ungekuwa kwenye page ya mia na......
Bado tuna safari ndefu sana kuelekea ukombozi wa mtanzania...kibaya zaidi hata mfumo mzima wa elimu yetu inatufanya tuzidi kuwa kama mazezeta kwa kuwa hautupi tafakuli na maarifa ya kujiuliza maswali ya msingi yanayotugusa...zaidi kukariri vya kujibia mtihani na kukabidhiwa vyeti vizuri huku kichwani kukiwa hakuna maarifa.....
MABADILIKO YA NCHI YETU YANAANZA NA MIMI NA WEWE.....