Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,006
Nadhani sababu ni mafuta ghafi pia hiyo technology ya salt imesaidia.Sasa toka 74
Hayo mafuta hayajachacha bado
Wataalamu tuelimisheni
@Baba Swalehe mafuta sio makande. Hebu mlaze swalehe, kesho atachelewa shule. Huu muda wa mapopo JF tuachie mabachela.[emoji848][emoji2955]Sasa toka 74
Hayo mafuta hayajachacha bado
Wataalamu tuelimisheni