The HSPs (Highly Sensitive Persons)

Me pia naenjoy sana nikiwa mwenyewe kuliko kuwa na company ila tu iwepo net full bando na niingie jf
 
Yeah en am always happy nikiwa hivi kujichukia kunakuja pale napokutana na changamoto maybe ya relationship en kuna watu around you wako kwenye relationship ambayo wewe unaiona en they are happy together na unatamani ungekuwa na relationship kama hiyo!
 
Haihusiani na pesa bana. Ni genetic condition.

Ngabu come and rescue me. Genetic condition inaitwaje kwa kiswahili.
 
Yup unatamani kuwa kwenye relationship lakini ukitazama around unaona hakuna mtu unaweza kuconnect naye.

FYI HSPs huwa wanakuwa na mahusiano machache sana ktk maisha yao ukilinganisha na watu wengine.
 
Sipendagi hata mana sijui hujiona Niko tofauti sana most of the time hupendi kuwa pekee palipotulia hata mashosti ni vile tu inakuwa lazima.
Mimi mashosti nimewatupilia mbali maana inakuwa inachosha sana. Nimebakia na shosti mmoja anayenielewa. Nikiwa emotional anajua, nikimwambia sitaki vurugu anajua pia, anakaa mbali na mimi.
 
we call it afkan au waswas
 
Hahahaha zimefika... Yup Inawezekana anamjua Ngabu.

Basi sawa...na hata kama hamjui Ngabu msalimie tu hivo hivo.

Ila Reina, hii hali nahisi kama inakusumbuaga na kukuathiri kwa kiasi flani eh?

Na je, unawafahamu watu wengine wenye hiyo hali?
 
Basi sawa...na hata kama hamjui Ngabu msalimie tu hivo hivo.

Ila Reina, hii hali nahisi kama inakusumbuaga na kukuathiri kwa kiasi flani eh?

Na je, unawafahamu watu wengine wenye hiyo hali?
Ndo maana nikasema it has taken it's toll on me.

Being an HSP sio rahisi. Ni personality ambayo unakuwa kama vile hufit kwenye jamii ya kawaida halafu unakuwa unajitahidi kufit in matokeo yake ni struggle ya ndani kwa ndani. Watu hawakuelewi nawe huwaelewi. It's frustrating.

Kwa mfano unasikia harufu fulani lkn kila mtu pembeni yako anakuambia hasikii,
Unasikia baridi wengine wote wanakuambia hawasikii.

Unaelezea jambo au unaangalia filamu unaanza kulia, mtu anakwambia hivi wewe una matatizo gani.

Unamwambia mtu siwezi kuwa na fulani kwa sababu si connect naye, unaambiwa umechanganyikiwa.

Unavaa nguo inakuwasha mtu hakuelewi, anakushangaa.

Hali ya watu kutokukuelewa inasumbua. Ndo maana unaamua kuconnect na wanyama, mimea (nature in it's totality), na muziki coz they are humble, they understand.....they don't get hard on me.

Bado siwafahamu watu wenye hali kama yangu ila najua wapo.
 
Pole sana.

Sasa umesema una connect na wanyama.

Wanyama gani unao connect nao vizuri? Nyoka? Mbwa? Sungura?

Nyani je? Nao una connect nao? Na Nyani si lazima wawe wale wa mwituni...hata JF Nyani yupo ujue


Huyu wa JF unaweza ku connect naye?
 
Asante.

Uzuri hii hali si ugonjwa. Watu wanatakiwa waelewe tu kuwa kuna personality ya namna hii, wasiwe critical, watuelewe tu.

Mimi na connect na wanyama wengi, mbwa, paka, kuku, bata, nguruwe, ng'ombe, mbuzi, nyani, samaki na wengine wengi isipokuwa nyoka.

And trust me, wanyama wananijua, ninawajua, tunajuana... We really get along very well. We connect on the highest spiritual level. Animals are just incredible. They are loving, understanding, humble, so pure at heart, just name it.

Huyu wa jf kwa kuwa ni Nyani naweza ku connect..... Teh.
 
kuna vtu umeviongea nahisi ninavyo,nahisi naweza kuwa HSP lakini sitaki kukubali hyo kitu ni genetic.sijafanya research though,me naona kama kuwa HSP ni udhaifu uliocost unaocost na utaocost maisha yangu,me kila siku niamkapo nastruggle niondokane na hiyo hali.na naamini kuhusisha hii hali na genetics kunamfanya mtu ajiendekeze ku-act different kwa sababu ya kuamini ni traits alizozaliwa nazo na wakati nadhani mtu unaweza kubadilika angalau kuelewana na watu katika jamii.
 
This is partly due to high intelligence, but an even higher intelligence is knowing how to control your inner HSP.

I may have some aspects of that, or it could just be my sense of investigation and need for justice and correction of wrongs makes me to think that.

Even if I think people are boring, I would challenge myself to learn from them.Or challenge myself to teach them. Or challenge myself to survive in a boring situation, thinking that if I am smart enough, I ought to find or make something interesting out of it.

I sometimes tend to believe that someone who cannot spell right may not be up to par in a philosophical discussion, because they do not pay attention to detail. One could interpret that as me being overly sensitive about format.

But the funny thing is, on the other hand, I balance that with being very tolerant of unstructed communication (In a Whatsapp group, I would shun a "Topic of The Day" form of discussion and embrace a freer format).

Also, the way I overcome my sensitive side is by looking at myself as an intelligent person whose mind cannot be disturbed by anyone whom I think is less intelligent than myself - quite often a significant part of the population here at JF at least. It is a bit narcissistic.

Yeah.

I think I am too narcissistic to be overly sensitive. I may actually be overly insensitive.

Case in point, I would think nothing of calling someone as an ignoramus if I have the evidence to show that. To me it does not matter much how the other person feels, as long as I have the right evidence to support my case. I look at it as possibly helping the other person realize their position and possibly correcting it.

Enough self analysis.
 
basi mimi ni Low sensitive person, sina hisia hisia za ajabu, naweza ona mtu anaumia hapa huku mi nachat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…