The HSPs (Highly Sensitive Persons)

huo utafiti naimani haujafanyika africa,najua ni hawa hawa wazungu,nadhan walifanya utafit huo kulingana na mazingira mixer utamaduni wao.sasa sisi kwakua tuna hizo elementi basi tunajiweka,

turudi hapa.kwann nmehusisha hili suala na hali ya maisha

kama huna pesa wala kazi rasmi huwezi kuacha kujichanganya maana pesa ipo mtaani,kwa mfano mtu unabeba mabox pale kariakoo au unatafuta wateja na kuwapeleka dukan,hiyo tabia itakutoka tu.au huna kitu hivyo itakulazimu tu uongee na watu.pia kwa mazingira ya kijijini hakuna umeme wala hizo movie huzijui,sijui utashinda mton au shamba

najua kuna hao watu waliobeba baazi ya element ila huwezi kuwaweka moja kwa moja na asilimia kubwa inategemeana na mazingira
 
Mimi nikikutana na purukusha zote hizo kwa siku moja, basi nitahitaji muda wa kutosha wa kukaa peke yangu na kuuguza mwili, nafsi na roho maana nakuwa nimeabsorb too much for the day na nahitaji kuprocess yote hayo.
 
Thats is so true en am one of these people HSP but naomba mnisaidie jambo moja mi inafikaga kipindi najichukia mwenyewe for being HSP coz kuna baadhi ya mambo yanakuwa hayaendi sawa especially kwenye relationships, kupata connection za career en so many other things mi nikipata hizi challenges huwa natamanigi nii change but ndo nakuwa siwezi wezangu mnapata hii changamoto?
 
Mimi nikikutana na purukusha zote hizo kwa siku moja, basi nitahitaji muda wa kutosha wa kukaa peke yangu na kuuguza mwili, nafsi na roho maana nakuwa nimeabsorb too much for the day na nahitaji kuprocess yote hayo.
kweli Mungu aliumba,mimi hapo ndio siku imeenda poa sana
 
Yaani wewe kama mimi
 
Previously nilikua nakaa na washkaji but nikawa nikotofauti sana even kwenye maongezi nikagundua naishi ulimwengu tofauti kabisa na wao! Then nikaona kama nakwazika flan hv, then nikafuata my passion
Hii hali unatokea pia mimi yani kuna watu yani cjui naonaje kuwa nao, inabidi hata wenzangu waniulize kwanini uko hivi na hivi
 
I thought may be am not compatible with the society,though I dont cry,but I like my own life,I am so sad when I see other going through difficult moments,I dont like spending too much time with people,I like to be alone.........
 
Changamoto zipo ndugu. Binafsi hizi zinazoitwa connection sinaga kabisa, yani mtu mpaka anivute yeye na kwa kupenda kwake. Ni kweli inacost sana sababu unashindwa hata mtu umuanzeje. Unaweza poteza fursa.

Kwenye relationship huko ndo kabisa maumivu maana ile kuwa attentive to detail na kutokuconnect na watu kirahisi inafanya mahusiano yawe magumu.

Habari njema ni kwamba HSPs are comfortable with who they are. Yani hata ile hali ya kutokuwa kwenye mahusiano unafurahia kwa kuwa unakuwa na muda mwingi wa kuwa peke yako, labda atokee mtu utakayeconnect naye, vinginevyo maisha ni murua.
 
Mtoa mada naomba kujua kuhusu reactions zao hasa wakiudhika inakuwaje?
Wanaumia sana na watakaa kimya most of the time. Wako sensitive sana na maneno yanayozungumzwa kwao. Unaweza kuzungumza neno dogo ambalo unaona ni la kawaida lkn HSP likamuumiza mpaka ukashangaa.

Kumbuka wako highly sensitive to almost everything around them.
 
Hii hali unatokea pia mimi yani kuna watu yani cjui naonaje kuwa nao, inabidi hata wenzangu waniulize kwanini uko hivi na hivi
Unapenda kukaa na watu kwa muda mrefu? Mashosti labda au watu wa kazini?
 
I thought may be am not compatible with the society,though I dont cry,but I like my own life,I am so sad when I see other going through difficult moments,I dont like spending too much time with people,I like to be alone.........
HSPs are not compatible with social life. They enjoy being alone.

Wanaumia sana kuona mtu au mnyama anateseka coz wako emotional.

Mimi nikiona mtu anamchinja kuku naogopa maana naona ni ukatili uliopitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…