Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 31,571
- 65,422
- Thread starter
- #121
Ng'ombe 70 sio kitu kwetu, nawe walijua hilo kuwa tumebarikiwa. Hatujauza wala kuchinja so waweza kuja kuwachukua pamoja na waliozaliwa.
Nifah amefundwa na akafundika so ubabe kwake mwiko
Absolutely... Ila ukizingua nami nazingua mara 2 zaidi
Hahahah