The Highs & Lows katika burudani na 'ubuyu' 2016

Hahahahahaaaaa ile thread inahusu story za The bold ambazo huziweka ktk group la WhatsApp.
Sasa ktk lile group kuna sheria ya kutokuchat au kujadili simulizi wala makala zitakazowekwa.
Hivyo ule uzi ni maalum kwetu members wa group kuchit chat na kujadili yanayojiri ktk simulizi/makala zinazowekwa kule kwenye group.

Hope umenielewa
Haya mama
 


Nimkumbuka mbali leooo hahahahahah

Ngoja niusake ule Uzi maalumu wa kiba alivyotoaga video uliosaabisha World War III

Hahahahahaha
 
Shemeji nisipoleta ubabe anaweza kuanza ubabe yeye.. Hahahahaha
Ukizingatia ng'ombe 70 nilizowapa, walahi ubabe ni haki yangu kuufanya..
Ng'ombe 70 sio kitu kwetu, nawe walijua hilo kuwa tumebarikiwa. Hatujauza wala kuchinja so waweza kuja kuwachukua pamoja na waliozaliwa.
Nifah amefundwa na akafundika so ubabe kwake mwiko
 
Back
Top Bottom