The Hidden Power of the Universal Laws

Ukiwa unawaza mambo mambo
mabaya,ulimwengu[the universe] itakuletewa
mambo mabaya mpaka utasema umelogwa
,lakini sio kweli,,unachokifikilia kwa muda
mrefu ndo kinachotokea katika physical
reality.





Check hapo juu uniambie wapi mleta uzi kasema waza huku ukifanya kazi!
Naelewa kwamba ukiyaweka mawazo kwwnye vitendo yanaleta uhalisia.
 
Umeeleza vizuri sana, ila umetoa maana na mifano, haujawafundisha watu kwa undani kanuni hizi za asili kwani umezungumza kwa juu juu kutokana na uelewa Wa google

Wote tukasome pure philosophical notes from any sources to be gin with and then get to know about maadili katika sharia za kimaumbile na sheria za asili

People are supposed to be entangled in law of nature on our daily basis life. Asante
 
shukrani pia kiongozi
 
Tatizo hujasoma law of action na kuiapply
 
Siri ziko hapa gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…