The hero

Nani mtunzi wa hiyo kitu? Duu siyo kwa kuchapia hivyo...
 
Mna uhakika mwenye picha hapo ndio kaandika?
 
Alikuwa anamaanisha nn jmn km kuna classmates wake watuambie bac
 
Bashite hilo kohozi la malikia alilotema hapo sio la nchi hii kwa mweli.

Yes Bashite ni Hero, ila ni Hero kwenye moyo wa mtu mmoja tu ambaye yuko kwenye ofisi kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…