JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Naam, zimetimia siku 60 kamili toka ndugu yetu Soka na wenzake wawili walipo tekwa. Kelele zimepigwa sana kutaka vijana Hawa waachiwe, lakini walio mteka wameamua kuweka pamba masikioni mwao.
CHADEMA wakitoa maelezo jinsi Soka na wenzake wawili walivyo ingizwa kwenye mtego wa kutekwa, na kwamba mtu wa mwisho kuongea na Soka alikuwa ni Mwanamama anaye hudumu kikosi maalumu Cha polisi chini ya Mtu waliye muita Mafwele.
Na kwasababu maelezo Yale ya Mwenyekiti wa CHADEMA hayaja kanushwa aidha na polisi au wahusika wenyewe basi jamii inayachukulia kuwa ni kweli tena yasiyo na waa.
Sasa, mtihani unaanzia wapi? Ikiwa Soka na wenzake wawili wasipo onekana milele maana yake itabaki Moja tu nayo ni kwamba :
Yule Mwanamama Kwa jina Semageni na mkubwa wake wa kazi Mafwele watahesabika waliwapoteza au kuwatowesha hapa duniani.
Na kwakuwa Semageni ndio aliongea na Soka Kwa mara ya mwisho, akistaafu watetezi wa haki ya kuishi wanaweza kumpeleka mahakamani akaeleze Soka na wenzake wako wapi?
Je, akiulizwa pikipiki ya Soka aliyo sema ipo Chang'ombe polisi alimkabidhi nani na lini ataweza kuijibu mahakama??
Ni ukweli usiopingika kwamba Semageni katika zoezi la kuwateka wale vijana alifanya kosa kubwa la kuscha alama. Hawezi kujitetea Dunia ikamuacha hivi hivi.
Semageni na wenzake wakiamua kuwaachia mateka wao sasa au mwakani Bado itakuwa shida kubwa Ingawa itakuwa nafuu kuliko kuto kuwaachia au kuwapoteza...!!
Semageni na Mafwele Iko siku watastaafu utumishi wa imma, wapende wasipende, baada ya hapo wataweka wapi sura zao?
Ukisikia The great ordeal ndiyo hii sasa. Kosa dogo la kikazi litawatesa milele.