The great comeback

The great comeback

Ule mkwala wa Gwajima nimtishia mtu siku ya jana akasalenda.

Nilimwambia"usupoleta hela yangu leo hii nitakatakata vipande vipande na moshi utatoka",jamaa akatuma pesa chap kwa haraka.
 
Usicheze Na Nchi hii na kuleta ujinga wako. Amani yetu tutailinda kwa jasho na Damu na kwa gharama yoyote ile na hatuwezi kukubali mtu mmoja na genge lake kutaka kuleta ujinga jinga wa kuhatarisha usalama wa Taifa. Kugusa usalama na amani yetu ni kuchezea moto kwa ulimi na kugusa mboni za watanzania kwa kucha.
ACHA mkwara mbuzi mjinga wewe
 
Mkazugwa na press U-tube kumbe jamaa Yuko live kwenye maombi mchana kweupe magari ya kuwashawasha yakishuhudia
 
Back
Top Bottom