The great comeback

The great comeback

Usicheze Na Nchi hii na kuleta ujinga wako. Amani yetu tutailinda kwa jasho na Damu na kwa gharama yoyote ile na hatuwezi kukubali mtu mmoja na genge lake kutaka kuleta ujinga jinga wa kuhatarisha usalama wa Taifa. Kugusa usalama na amani yetu ni kuchezea moto kwa ulimi na kugusa mboni za watanzania kwa kucha.
nchi gani?

au hii mliyoiuza kwa mwarabu?
 
Katika watu walioshiriki kuomba pale nje, kuna mtu kama alivyo yeye kavaa kofia. Yupo na anataka kuonyesha yeye ni akili kubwa. Policcm wako pale wameshindwa kumtambua. Lisilokuuwa linakukomaza.
Hapakwi mafuta vyumba vya siri!?
 
Did it happen?

Leo si ndo Gwajima alikuwa asimamishe nchi..

Nijuzeni tafadhalini maana wengine huku Simiyu kupata hela ya bando ni mbinde kwelikweli.
Nchi hii mambo mengi siyajui. Kumbe nchi inatembea na mimi sina habari. Au tuseme nchi imekaa na sasa inatakiwa kusimama
 
Usicheze Na Nchi hii na kuleta ujinga wako. Amani yetu tutailinda kwa jasho na Damu na kwa gharama yoyote ile na hatuwezi kukubali mtu mmoja na genge lake kutaka kuleta ujinga jinga wa kuhatarisha usalama wa Taifa. Kugusa usalama na amani yetu ni kuchezea moto kwa ulimi na kugusa mboni za watanzania kwa kucha.
Amani ipi we qquma
 
Dola ni dude kubwa sana, likituna kwenye chumba alichokaa Gwajima, atajua kwamba mambo si rahisi. Dola ikiamua kulinda nchi, Gwajima ni sisimizi anayepaswa kusiginwa awe vumbi
Kumbe dola ndio inayoteka na kuua watu?

Muda kweli ni hakimu mzuri, mmeanza kutoa siri kabla hamjabananishwa na wahisani wenu.
 
Usicheze Na Nchi hii na kuleta ujinga wako. Amani yetu tutailinda kwa jasho na Damu na kwa gharama yoyote ile na hatuwezi kukubali mtu mmoja na genge lake kutaka kuleta ujinga jinga wa kuhatarisha usalama wa Taifa. Kugusa usalama na amani yetu ni kuchezea moto kwa ulimi na kugusa mboni za watanzania kwa kucha.
Dola ipi hii ambayo account zake zinadakuliwa Kama za udaku?
 
Dola ni dude kubwa sana, likituna kwenye chumba alichokaa Gwajima, atajua kwamba mambo si rahisi. Dola ikiamua kulinda nchi, Gwajima ni sisimizi anayepaswa kusiginwa awe vumbi
Jigwa ni mwamba sana ila uhalisia Huwezi shindana na dola chifu
 
Kwao wananchi ni kenge tu.wako lulinda dola tu
Ni muda wa kuwabamiza wanaoongoza kenge, kama wananchi ni kenge basi viongozi wa wananchi ni makenge, sas atuwakatae hawa makenge
 
Dola ni dude kubwa sana, likituna kwenye chumba alichokaa Gwajima, atajua kwamba mambo si rahisi. Dola ikiamua kulinda nchi, Gwajima ni sisimizi anayepaswa kusiginwa awe vumbi
Kwani ili moto uwake unahitaji njiti ngapi mkuu.
 
Usicheze Na Nchi hii na kuleta ujinga wako. Amani yetu tutailinda kwa jasho na Damu na kwa gharama yoyote ile na hatuwezi kukubali mtu mmoja na genge lake kutaka kuleta ujinga jinga wa kuhatarisha usalama wa Taifa. Kugusa usalama na amani yetu ni kuchezea moto kwa ulimi na kugusa mboni za watanzania kwa kucha.
Unalinda amani halafu kina Abdul wanajichotea mabilioni na kuyatoroshea Dubai ?

Mpuuzi mkubwa sana wewe.
 
Back
Top Bottom