Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Usani wa Wazungu unaendelea kama kawaida yao, ni lini vile tangu Wananchi wa Uingereza wamepiga kura ya kuiondoa nchi yao EU?
Sasa baada ya Mahakama kupinga Serikali ya nchi hiyo kujiondoa moja kwa moja bila kupitia Bunge jambo ambalo lilijulikana hata kabla ya Kura, sasa lingine hili limeibuka!
Tangu mwanzo nilijua ni usanii na Uingereza haitaondoka EU!
http://www.cnbc.com/2016/11/15/leaked-memo-claims-uk-government-has-no-brexit-plan-report.html