The Good news is here....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
13,871
2,000
Salaam wakuu,
kwanza kabisa nitoe shukrani sana kwa mkuu magnifico ambaye since the day alipo-post hapa kwa mara ya kwanza beat yake aliyoigonga kwenye FL studio, we kept in touch na kufanya kazi nyingine kadhaa ambapo alikua ananitumia beats then mimi naingiza vocals locally kama demo nakuzirusha online. Hatimaye leo nimefanikiwa ku upload mixtape yangu ya kwanza online (gonga hapa kuipata Don.C - Loxodonta Africana Hosted by Dj Magnifico // Free Mixtape @ DatPiff.com) thou amdoing it just for fun and not as a career naomba support yenu wakuu katika kuidownload na kusikiliza and am open for advice and suggestions.
Thanks and regards,
Don Lucchese.
 
Last edited by a moderator:

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,885

  • Hongera sana, kazi nzuli mistari imesimama, hasa hii namba 13
r57n.png
 
magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
6,170
2,000
salaam wakuu,
kwanza kabisa nitoe shukrani sana kwa mkuu magnifico ambaye since the day alipo-post hapa kwa mara ya kwanza beat yake aliyoigonga kwenye fl studio, we kept in touch na kufanya kazi nyingine kadhaa ambapo alikua ananitumia beats then mimi naingiza vocals locally kama demo nakuzirusha online. Hatimaye leo nimefanikiwa ku upload mixtape yangu ya kwanza online (gonga hapa kuipata don.c - loxodonta africana hosted by dj magnifico // free mixtape @ datpiff.com) thou amdoing it just for fun and not as a career naomba support yenu wakuu katika kuidownload na kusikiliza and am open for advice and suggestions.
Thanks and regards,
don lucchese.

pamoja mkuu..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom