CARIFONIA JF-Expert Member Joined Aug 17, 2013 Posts 645 Reaction score 1,549 Jun 13, 2023 #1 Mwaba huya hapa, mshikaji kama amegoma kufa. Bado anatrend kinoma katika social network ukilinganisha na wasanii kibao ambao wangali hai. Picha za Pac zimekua ni brandi kubwa katika bidhaa kibao kama kwenye t-shirt, viatu, vitambaa, mabegi, tattoo, na ni role model kwa raia kibao. 2Pac dunia inakumic japo umegoma kufa.
Mwaba huya hapa, mshikaji kama amegoma kufa. Bado anatrend kinoma katika social network ukilinganisha na wasanii kibao ambao wangali hai. Picha za Pac zimekua ni brandi kubwa katika bidhaa kibao kama kwenye t-shirt, viatu, vitambaa, mabegi, tattoo, na ni role model kwa raia kibao. 2Pac dunia inakumic japo umegoma kufa.
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,301 Reaction score 47,303 Jun 14, 2023 #2 Ndo nani huyu?
fullcup JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 809 Reaction score 2,210 Jun 14, 2023 #3 Maghayo said: Ndo nani huyu? Click to expand... Atakua mlinzi wa DP world
NAHAL JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 1,670 Reaction score 3,287 Jun 14, 2023 #4 Maghayo said: Ndo nani huyu? Click to expand... Wakili wa Dp world
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,725 Reaction score 103,592 Jun 15, 2023 #5 California love...
ABLE04 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 984 Reaction score 2,404 Jun 15, 2023 #6 Tupac ni msanii aliyekuwa anafit killa sehemu..,Sema kuna baadhi ya watu walikuwa wanamuona Sana kwny upande wake wa uhuni. Rest well Makaveli!
Tupac ni msanii aliyekuwa anafit killa sehemu..,Sema kuna baadhi ya watu walikuwa wanamuona Sana kwny upande wake wa uhuni. Rest well Makaveli!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 Jun 15, 2023 #7 Huyu 2pac alikua ana muonekano wa kibasha kabisaa.
Jackson996 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2019 Posts 820 Reaction score 1,373 Jun 15, 2023 #8 cocastic said: Huyu 2pac alikua ana muonekano wa kibasha kabisaa. Click to expand... Kumekucha kumekuchaaaa
cocastic said: Huyu 2pac alikua ana muonekano wa kibasha kabisaa. Click to expand... Kumekucha kumekuchaaaa
AlexProsper JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 3,408 Reaction score 6,269 Jun 15, 2023 #9 Hatari sana
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 Jun 15, 2023 #10 Jackson996 said: Kumekucha kumekuchaaaa Click to expand... hapo roho kwatuu, mxxxxiiiieeeew.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,634 Jun 15, 2023 #11 cocastic said: Huyu 2pac alikua ana muonekano wa kibasha kabisaa. Click to expand... Aisee.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 Jun 15, 2023 #12 Hance Mtanashati said: Aisee. Click to expand... Vipiii??
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,131 Reaction score 14,604 Jun 15, 2023 #13 fullcup said: Atakua mlinzi wa DP world Click to expand... Ahaaaa
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,160 Reaction score 6,164 Jun 16, 2023 #14 I can't lie, ain't no love for the other side Jealousy inside, make them wish I died Oh my Lord, tell me what I'm livin for Everybody is droppin got me knocking on heavens door ONLY GOD CAN JUDGE ME.
I can't lie, ain't no love for the other side Jealousy inside, make them wish I died Oh my Lord, tell me what I'm livin for Everybody is droppin got me knocking on heavens door ONLY GOD CAN JUDGE ME.
Panzi Mbishi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2021 Posts 2,344 Reaction score 3,019 Jun 17, 2023 #15 cocastic said: Huyu 2pac alikua ana muonekano wa kibasha kabisaa. Click to expand... Mabasha wanaonekanaje
cocastic said: Huyu 2pac alikua ana muonekano wa kibasha kabisaa. Click to expand... Mabasha wanaonekanaje
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 Jun 17, 2023 #16 Panzi Mbishi said: Mabasha wanaonekanaje Click to expand... Km alivyo huyo 2pac.
R Right eye JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 1,249 Reaction score 2,183 Jun 17, 2023 #17 cocastic said: Huyu 2pac alikua ana muonekano wa kibasha kabisaa. Click to expand... Koh Koh Koh..