Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Mkuu Kozo Okamoto nipe time ya kurusha kipindi
Hiyo ni kali the flying coffin
Wanafanya makusudi ili wawatoe watu sadaka?
Ila uzuri ni kuwa hadi leo, hata moja haijaanguka.
Nafikiri ni ushindani ya biashara pia maana Airbus watakuwa wanalitumia sana kuwashambulia.
Wao pia waliwanyanyasa Airbus na A380 wakati ikichelewa kutoka sokoni.
Kwa Ulaya na Africa, tatizo wamelisolve huko Ethiopia. Nafikiri matatizo yataendelea kwa kipindi fulani.
Hakuna ndege iliyo salama. Zingekuwa zimeanguka nyingi ningekubaliana nao. Ila kwasasa, wacha tupande tu