The first time i met him

Inatokea sana! Na hapo ndipo palipo na dalili njema ya penzi la kweli
I like that nameless girl
^^
 
Last edited by a moderator:
Sasa ulimpa kigoz manyoya????????????????????????
 
MMHH! Mbona kama filamu hii! umetuacha hewani hujaeleza ni kwa nini ulimchukia bila sababu halafu mwisho wenu umekuaje>>>> sijakupata kabisa hapo Nameless Girl ...
 
MMHH! Mbona kama filamu hii! umetuacha hewani hujaeleza ni kwa nini ulimchukia bila sababu halafu mwisho wenu umekuaje>>>> sijakupata kabisa hapo Nameless Girl ...

hayo mbona ni maisha ya kawaida sana, hujawai mchukia mtu bila sababu ya msingi?
He became my best friend mpaka sasa though tuko mbali mbali kwa sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…