The first Kinetic Typography in Tanzania

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
I think this is the first Kinetic Typography video in Tanzania. made by me, detailing my C.V. Tool was only Adobe After Effects, it took me 2 days. What a Lovely Fashion of Presentation!!

Last edited by a moderator:
Hiyo link ya youtube sio active.Edit hiyo link kwa kuondoa nukta uliyoweka katikati ya u na b kwenye youtube
 
http://youtu.be/y-1poGAH_Vc

majanga.jpg
 
mbona video inafanya kazi fresh tu? nimeona hapo juu youtube ya kidachi nafkiri litakuwa ni tatizo la yale mambo yetu ya bure.

video nzuri kaka lakini wewe ndio first tz? hapana angalia tu pembeni kwenye youtube utaona wenzako kibao. pia nakupa tu ushauri unapofanya kitu usieke tanzania kama standard unatakiwa ucompete level za kimataifa hasa ulimwengu wetu huu tulionao. naweza muajiri mmarekani akanitengenezea template kama hio kwa chini ya dola 10 ikaja leo leo.
 
Hiyo link ya youtube sio active.Edit hiyo link kwa kuondoa nukta uliyoweka katikati ya u na b kwenye youtube

Link halisi niliyopost ni hee: https://www.youtube.com/watch?v=y-1poGAH_Vc
na inafanya kazi. Kuna mwenye wivu humu ame edit na kuipotosha.

By the way, i'm booming up, so haters mtajibeba. nimeshajipanga na challenge mtaiona, kuanzia music videos hadi films.
 
mbona video inafanya kazi fresh tu? nimeona hapo juu youtube ya kidachi nafkiri litakuwa ni tatizo la yale mambo yetu ya bure.

video nzuri kaka lakini wewe ndio first tz? hapana angalia tu pembeni kwenye youtube utaona wenzako kibao. pia nakupa tu ushauri unapofanya kitu usieke tanzania kama standard unatakiwa ucompete level za kimataifa hasa ulimwengu wetu huu tulionao. naweza muajiri mmarekani akanitengenezea template kama hio kwa chini ya dola 10 ikaja leo leo.

Link halisi niliyopost ni hee: https://www.youtube.com/watch?v=y-1poGAH_Vc
na inafanya kazi. Kuna mwenye wivu humu ame edit na kuipotosha.

By the way, i'm booming up, so haters mtajibeba. nimeshajipanga na challenge mtaiona, kuanzia music videos hadi films.
Nipe link ya Kinetic typography ingine iliyofanywa na mbongo. and we're not talking about templates...it's about things from SCRATCH.
 
Nimeiona mkuu Michael Ngusa.Looks very professional and highly splashy.Kama umeshafungua ofisi yako
kwa ajili ya hizi shughuli, unaifupisha kidogo hiyo typography kuifanya iwe tangazo lako kwenye tv station za hapa nchini.Hongera sana, uko kwenye level kali!
 
Last edited by a moderator:
mbona video inafanya kazi fresh tu? nimeona hapo juu youtube ya kidachi nafkiri litakuwa ni tatizo la yale mambo yetu ya bure.

video nzuri kaka lakini wewe ndio first tz? hapana angalia tu pembeni kwenye youtube utaona wenzako kibao. pia nakupa tu ushauri unapofanya kitu usieke tanzania kama standard unatakiwa ucompete level za kimataifa hasa ulimwengu wetu huu tulionao. naweza muajiri mmarekani akanitengenezea template kama hio kwa chini ya dola 10 ikaja leo leo.

chief hata mimi nimeona hiyo video,it's awesome but nimecheka kidogo alipo sema ni ya kwanza from tz.
 
Nipe link ya Kineti Typography ingine iliyofanywa na Motion Graphics Designer mwingine wa Tanzania.
 
Link halisi niliyopost ni hee: https://www.youtube.com/watch?v=y-1poGAH_Vc
na inafanya kazi. Kuna mwenye wivu humu ame edit na kuipotosha.

By the way, i'm booming up, so haters mtajibeba. nimeshajipanga na challenge mtaiona, kuanzia music videos hadi films.
Nipe link ya Kinetic typography ingine iliyofanywa na mbongo. and we're not talking about templates...it's about things from SCRATCH.
HAhahahahhahahaha, WA KWANZA!!!!?, i see alot of typeMonkey hapo, Anyway umejitahidi,

Kaushauri tu: Don`t be Big Headed! kuna alot of Tanzanians who are doing Stuffs, you just dont get to see them!

tembelea AE SCripts i`m pretty sure utakuta scripts nyengine nyingi tu, akina plexus, layer monkey etc
 
Nipe link ya Kineti Typography ingine iliyofanywa na Motion Graphics Designer mwingine wa Tanzania.

ndg. youtube cant be a final proof to legitimize your opinion since not all motion graphics/animation stuff done by bongos are uploaded in youtube.most of them are aired in our popular TV Stations like EATV,Clouds TV,TV1 etc.

personally i did in 2012: http://www.youtube.com/watch?v=PdrrhAIglAM&feature=youtube_gdata_player

mean while,i've been doing a lot of motion graphics but i cant upload them all in youtube due to the agreement i made with my clients.

kumbuka JF ni forum kubwa na imekusanya professionals wa kila aina ktk field mbalimbali.siku nyingine usijifanye mjuaji sana,kuwa mpole kama mimi ili ujifunze mengi.

CC Magembe R. Malima Good Guy wickerman
 
Last edited by a moderator:
ndg. youtube cant be a final proof to legitimize your opinion since not all motion graphics/animation stuff done by bongos are uploaded in youtube.most of them are aired in our popular TV Stations like EATV,Clouds TV,TV1 etc.

personally i did in 2012: jamiiforums - YouTube

Wewe ndio unatakiwa ujifunze kwasababu mimi sijaomba link ya Logo Intro, hizo hata mimi nimefanya sana. Na kuhusu agreement na clients...Kinetic Typography inafanywa ili watu waone, hakuna mteja anaweza kukataa usiisambaze. Na link uliyonitumia hiyo ni 2D animation tena ya kichovu.
ANGALIA HIKI KIWANGO HAPA ndo uone mm ni lavel ingine kabisa:

https://www.youtube.com/watch?v=mtEwwSlX3-o

mean while,i've been doing a lot of motion graphics but i cant upload them all in youtube due to the agreement i made with my clients.

kumbuka JF ni forum kubwa na imekusanya professionals wa kila aina ktk field mbalimbali.siku nyingine usijifanye mjuaji sana,kuwa mpole kama mimi ili ujifunze mengi.

https://www.youtube.com/watch?v=mtEwwSlX3-o
https://www.youtube.com/watch?v=ggpoMOE8Zqs
 
Na kama kuna Kinetic Typography ingine, jamani si mnajua kusearch? si mnionyeshe? mkifeli acheni yangu iitwe "kuwa ni ya kwanza". Pili hizo zinazoonekana kwenye TV mnazozisema, huko ni wahindi....hakuna mbongo kwa taarifa yenu. na pia wanachakachua templates tu ndo maana hawana muda wa kuajili professioanl motion designer. @wickerman, kadoda11
 
Last edited by a moderator:

Kijana ilikua nikusifie kwa typography nzuri, lakini nimepitia comments naona u r so arrogant we jamaa... una kiburi flani cha kijinga, kwa kuweza hizo animations kidogo tyr unajiona uko juu ya Tz, sikulaumu maana nlikua na ujinga kama wako tu miaka sita saba iliyopita, enzi hizo na mimi nlikua nacheza na After Effects,Cinema 4D na 3D Studio Max.. na Photoshop nlikua natumia sana.. ulichofanya hapo ni mimi miaka sita nyuma.. Ila at the end of the day nlikutana na wabongo ambao hii kazi wanaiweza vizuri tu, better than you think, hizo animations ulizofanya hapo ni vitu vyepec sana nikupe taarifa yako! from the looks of it ni kitu nikikaa ninaki-copy faster sana! na si kua ulikua na idea mpya wala nini... Its a copy ya kitu watu wengi sana wamefanya, u-uniqueness uko wapi?

Usikae ukajipa kichwa kijinga kua hakuna level yako! there's always someone better.. Kwa kua huwaoni wakifanya hivo kwenye media usidhani ndo hawapo! wengine wanamishe nyingine tu.. Tafuta game engines kama Unreal Engine au Unity afu uwe na computer processor i7 na GPU ya maana, kurender scene kama hizo zako ni dakika chache sana au unaicheki kwenye realtime na hiyo ni with full global illumination.... Kutengeneza hizo models na kuzi-import kwenye engine na kufanyia animations ni dakika ishirini tu na itakua na good visuals kuliko ulichofanya hapo.. Sio kila anayeweza hizo lazima awe kwenye media, wengine kazi zao ni za nje tu... afu kwenye media usidhani utaweka upuuzi wako ukubalike, kampuni ka vodacom usidhani watakubali animations complex hizo... Endelea na hiyo path utakuja kujua siku moja kwa nini huwaoni
 
Sio kiburi, pia shukrani kwa kujali. Link nilizokutumia ni kazi wateja wa aina hiyo. kwahiyo design hizo hazi nidefine kuwa ndio style yangu. huwa nafanya kutokana na interest ya mteja na fashion anayohitaji. hata mimi nina kazi ambazo siwezi kuziweka Youtube kwasabaabu ya aina ya mteja (kama mdau mmoja hapa alivyonote kuhusu hilo).

Pia mimi sifanyi hicho tu, nimecover multimedia from Web design to vfx n.k. kwahiyo hata kampuni yangu italeta mapinduzi East Africa, kwa maoni ya wengi waliochungulia kazi zangu hapa Arusha. Si ulimbukeni, ninaelewa ninachokifanya na hata nikatoa elimu kwenye hii Thread hapa ( Jinsi movie za Hollywood zinavyotengenezwa - https://www.jamiiforums.com/matanga...avyotengenezwa-pia-nataka-fungua-kampuni.html )

Hiyo aritcle ni ya page kama 4 hivi na iko featured tayari kwenye blog kadhaa za hapa Bongo. Nimesoma, ndio maana ya huo upeo. kama ww ni competitor basi subiri challenge. Arusha moto utaanzia huku na tayari mwenzangu Nisher kishawashtua kidogo
 
Unajiamini sana kijana! hahaha afu ushindani unaoutafuta wa ovyo sana.. Nimesoma article yako jinsi movie za hollywood zinavotengenezwa...Ntakupongeza kwa kua unafuatilia vitu kama hivi unavisoma kuvijua angalau inakufungua ubongo kidogo...

Sema bado arrogance yako iko palepale, una kitu kinachomfanya mtu asikupende moja kwa moja, mfano umesema unahakika wabongo hata Maya interface hawaijui!! hahaha unadhani wabongo wote wamelala au wameijua maya mwaka huu.. Nenda hata DIT utakutana na watoto watakufundisha modelling na animation in Maya..

Nimefanya kazi na production company na kazi nyingi zilikua za nje au private companies matangazo miaka hiyo nipo bongo, unavozungumzia movie usidhani ni milioni kumi ishirini.. bila shaka unajua movie zenye special effects za kueleweka ni millions of dollars na kurender footage kama zile kwa solid 24fps resolution, wanatumia 4K ambayo inakua scaled down hadi 1080p kuweka kwenye bluerays ni mkasi, camera tu ya 4K kwa ajili ya movie usidhani ni Canon hizi MK series unazonunua kwa milioni tano sita... Una underestimate wengine, u r not someone to do team-work kabisa...

Mi c competitor wako kabisa na siko kwenye kazi hiyo siku hizi.. Fanya kazi, komaa endelea unavosoma mambo kibao kupata experience, vitu kama hivi unaweza kuvijua vizuri bila kuingia darasani na ukafikia world class... Sema fix hiyo arrogance uliyonayo... itaku-cost siku moja!!! u can't see it now sababu unajuajua vitu viwili vitatu kuhusu softwares na since uko bongo ignorants wamejaa utajisikia mfalme kwa muda kidogo... Na unavosema EA, usiwadharau wakenya...
 
Mkuu ningekugongea like sema natumia simu.
Hata mimi nilitaka kumsifu kwa kazi yake sema anajiamini kupitiliza.
Wapo watu wanapiga kazi si mchezo, mwaka jana nilikuwa na mganda flani walikuwa wamekuja kushoot video clips kwa ajili ya tangazo la airtel jamaa alikuwa anafanya hizi kinetic topography vibaya mno lakini sidhani kama ana kazi youtube.
Kuna vitu alikuwa anafanya nakuwa so excited akawa ananiambia beginners ndio wanafanya hivi ukiwa expert huwezi fanya kwakuwa utagundua no serious client will ever want them.
Wakenya wako vizuri sana kwenye haya mambo so kwa E.A usiwasahau.
Pia hapa TZ kuna watu wako vizuri sana na utakuta wana shughuli nyingine hizi mambo wanafanya for fun.
Zingatia ushauri wa watu unaopewa unless umeanzisha thread kama show off kama umeanzisha ijadiliwe them be calm
 
Unajiamini sana kijana! hahaha afu ushindani unaoutafuta wa ovyo sana.. Nimesoma article yako jinsi movie za hollywood zinavotengenezwa...Ntakupongeza kwa kua unafuatilia vitu kama hivi unavisoma kuvijua angalau inakufungua ubongo kidogo...

Sema bado arrogance yako iko palepale, una kitu kinachomfanya mtu asikupende moja kwa moja, mfano umesema unahakika wabongo hata Maya interface hawaijui!! hahaha unadhani wabongo wote wamelala au wameijua maya mwaka huu.. Nenda hata DIT utakutana na watoto watakufundisha modelling na animation in Maya..

Nimefanya kazi na production company na kazi nyingi zilikua za nje au private companies matangazo miaka hiyo nipo bongo, unavozungumzia movie usidhani ni milioni kumi ishirini.. bila shaka unajua movie zenye special effects za kueleweka ni millions of dollars na kurender footage kama zile kwa solid 24fps resolution, wanatumia 4K ambayo inakua scaled down hadi 1080p kuweka kwenye bluerays ni mkasi, camera tu ya 4K kwa ajili ya movie usidhani ni Canon hizi MK series unazonunua kwa milioni tano sita... Una underestimate wengine, u r not someone to do team-work kabisa...

Mi c competitor wako kabisa na siko kwenye kazi hiyo siku hizi.. Fanya kazi, komaa endelea unavosoma mambo kibao kupata experience, vitu kama hivi unaweza kuvijua vizuri bila kuingia darasani na ukafikia world class... Sema fix hiyo arrogance uliyonayo... itaku-cost siku moja!!! u can't see it now sababu unajuajua vitu viwili vitatu kuhusu softwares na since uko bongo ignorants wamejaa utajisikia mfalme kwa muda kidogo... Na unavosema EA, usiwadharau wakenya...

Massage delivered but please, I'm not that arrogant. You know, when someone drags me down, I will respond, and I will respond by force. Watu wa kwanza kucomment kwenye thread yangu walianza in a way of dragging me down (ni kweli inaweza isiwe kweli kwa nilichokisema) but they had chance to use proper positive criticism language. Halafu na ww ukadakia chini kwa chini kwenye comment zao so nikakuadd kwenye list ya waanostahili kupewa makavu. Nimeshaziona kazi za vijana wa DIT, ni ma models tu ambayo hayajafanyiwa texturing, with juggled animation. yaan ni sooo basic...huwezi hata kufikiria ati such thing inaweza kuwa intgrared kwenye live action-scene. Kwahiyo watie moyo...lakini bado sana.
 
Back
Top Bottom