Maelezo yako yanaonesha jinsi unavyoniona mm kwamba labda is just like otner common potentials. Pili, hakuna mtu wa kazi za media anayeweza kufanya kazi na ajifiche maana ili upate clients ni lazima utangaze kazi zako (portfolio).
Onja kigodo lavel yangu hapa:
https://www.youtube.com/watch?v=mtEwwSlX3-o
https://www.youtube.com/watch?v=ggpoMOE8Zqs
Look man, sifanyi sana 2D Animations, but wat pisses me off its that u r Arrogant!, Kutumia ma TypeMonkey ni rahisi, do that manually and show me After Effects Keyframes, Then I`ll Respect you.... Sio unaandika Maneno halafu type na layer Monkey zina automate whole the process Halafu unakuja kuleta dharau....
Well, Here`s wat keeps me busy...
[video=youtube_share;FHxCTQNiKKQ]http://youtu.be/FHxCTQNiKKQ[/video]
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
cc :Michael Ngusa
Michael Ngusa kwa hiyo hao waliocomment mwanzo ulitaka wakusifie tu bila hata ya kukurekebisha? Kubali kushauriwa na jifunze kujibu vyema unaposhauriwa.Massage delivered but please, I'm not that arrogant. You know, when someone drags me down, I will respond, and I will respond by force. Watu wa kwanza kucomment kwenye thread yangu walianza in a way of dragging me down (ni kweli inaweza isiwe kweli kwa nilichokisema) but they had chance to use proper positive criticism language. Halafu na ww ukadakia chini kwa chini kwenye comment zao so nikakuadd kwenye list ya waanostahili kupewa makavu. Nimeshaziona kazi za vijana wa DIT, ni ma models tu ambayo hayajafanyiwa texturing, with juggled animation. yaan ni sooo basic...huwezi hata kufikiria ati such thing inaweza kuwa intgrared kwenye live action-scene. Kwahiyo watie moyo...lakini bado sana.
Salute kwa kazi yako na kama ni Keyframes hizi hapa (na pia hiyo TypeMonkey ni nini? ndo naskia kwako):
View attachment 188432View attachment 188433View attachment 188434au nionyeshe nicapture wapi uelewe
see!!!.i warned you...dont pretend like you know everything while you dont.teh tehna pia hiyo TypeMonkey ni nini? ndo naskia kwako
see!!!.i warned you...dont pretend like you know everything while you dont.teh teh
anyway nitakusaidia ktk hili halafu wickerman atakuja kuongezea.ni hivi huko ughaibuni kuna mabingwa kama akina endrew kremer na wengineo huunda script za EA ili kubuni expressions na plug ins mbalimbali.moja ya plug in iliyo undwa hivi karibuni ili kurahisisha zoezi la kinetic typography ni hiyo "TypeMonkey".tayari mimi ninayo.wenyewe wanaiuza $89.95.
wamiliki wa hiyo kitu ni aescripts.com kama sijakosea.
mzungu hataki watu wapate shida au kuumiza kichwa ktk Kinetic Typography.with typomonkey things are easy done like counting 123.LOL
Yeah, well said kadoda11 ... Mr.@MichaelNgusa , just learn from your mistakes. I was like you, abit egotistical ,Because of my Ego, even at the spot of a single negative comment prior to positive comments i would turn up raging. And its the same kind of ego you have that denied me a chance to work on The "Wauwe" video directed by Adam Juma ( for the CG Plane ) ,... From there on i learned my lesson. Just be Humble, its of no Harm.
halafu kaka ktk ile video ya wauwe kuna clip inaonekana plane inatoka left side to right side.ni mkono wako nini kaka.
No no no sio wangu mkuu kadoda11. As i said, I didn`t get the chance... Nilitoa some how egotistical comments, AJ fumed up, and i didn`t get the deal... :embarrassed:
Link halisi niliyopost ni hee: https://www.youtube.com/watch?v=y-1poGAH_Vc
na inafanya kazi. Kuna mwenye wivu humu ame edit na kuipotosha.
By the way, i'm booming up, so haters mtajibeba. nimeshajipanga na challenge mtaiona, kuanzia music videos hadi films.
we unatumia proxy ya ujerumani, wajerumani wameblock video nyingi za youtube kwa sababu ya kukwepa kukiuka sheria ya hakimiliki na vitu kama ivyo, tumia proxy za uingereza na kwingine
Sikujui wala hunijui ila nimeona sio mbaya nikikushauri. Hebu ngoja nihamie kwa bibi kidogo.Sio kiburi, pia shukrani kwa kujali. Link nilizokutumia ni kazi wateja wa aina hiyo. kwahiyo design hizo hazi nidefine kuwa ndio style yangu. huwa nafanya kutokana na interest ya mteja na fashion anayohitaji. hata mimi nina kazi ambazo siwezi kuziweka Youtube kwasabaabu ya aina ya mteja (kama mdau mmoja hapa alivyonote kuhusu hilo).
Pia mimi sifanyi hicho tu, nimecover multimedia from Web design to vfx n.k. kwahiyo hata kampuni yangu italeta mapinduzi East Africa, kwa maoni ya wengi waliochungulia kazi zangu hapa Arusha. Si ulimbukeni, ninaelewa ninachokifanya na hata nikatoa elimu kwenye hii Thread hapa ( Jinsi movie za Hollywood zinavyotengenezwa - https://www.jamiiforums.com/matanga...avyotengenezwa-pia-nataka-fungua-kampuni.html )
Hiyo aritcle ni ya page kama 4 hivi na iko featured tayari kwenye blog kadhaa za hapa Bongo. Nimesoma, ndio maana ya huo upeo. kama ww ni competitor basi subiri challenge. Arusha moto utaanzia huku na tayari mwenzangu Nisher kishawashtua kidogo
mbona video inafanya kazi fresh tu? nimeona hapo juu youtube ya kidachi nafkiri litakuwa ni tatizo la yale mambo yetu ya bure.
video nzuri kaka lakini wewe ndio first tz? hapana angalia tu pembeni kwenye youtube utaona wenzako kibao. pia nakupa tu ushauri unapofanya kitu usieke tanzania kama standard unatakiwa ucompete level za kimataifa hasa ulimwengu wetu huu tulionao. naweza muajiri mmarekani akanitengenezea template kama hio kwa chini ya dola 10 ikaja leo leo.
duuuuuh
usishangae mkuu we angalia tu huyu bado mgeni, wengi uwa wanakuja kwa kujiboast huku hawataki negative critics wakisema ni haters eti wanataka waambiwe kazi nzuri uumetisha bro, sasa hapo unajengekaje bila kujua sehemu gani ulizopwaya?joe niaje kaka.usishangae ndio wadogo zetu hawa.wamejaa sana huko kwenye bongofleva na bongomovies.wakishakuwa neglected na media or society,they become too suspicious and paranoid ,to them any person is taken as the enemy or competitor.mfano mzuri ni huyu mleta mada,anadhani kila mtu yupo hapa kushindana nae.afterall sio wote wanafanya hayo mambo kama njia ya kujipatia chakula,wengine hufanya kwa kujifurahisha tu.