KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
ndio hivyo tena starehe gharama...but let me say something,tuache ushamba kupapalikia mambo ya kimagharibi,haya mavyakula kiafya hayana mpango wala nini,wao wenyewe wanadiscourage ulaji wa mavyakula haya ndio maana kwenye nchi zao hayana market wanawaletea nyie na watu wa Asia!Tatizo bei ila ni wazuri sana hawa Kentucky
ndio hivyo tena starehe gharama...but let me say something,tuache ushamba kupapalikia mambo ya kimagharibi,haya mavyakula kiafya hayana mpango wala nini,wao wenyewe wanadiscourage ulaji wa mavyakula haya ndio maana kwenye nchi zao hayana market wanawaletea nyie na watu wa Asia!
watu wengine hata hawajui hao kuku ila wanashoboka tu waonekane wa mjini hahahahahahahaahah eti oh cant wait hahaahahah
watu wengine hata hawajui hao kuku ila wanashoboka tu waonekane wa mjini hahahahahahahaahah eti oh cant wait hahaahahah
unamjua samaki anaitwa tasi wewe utaweza fananisha na hii makuku weyehuyooo jiseme mwenyewe bana uliyezoea pweza wa kutoboa kwa toothpick..hahaha..kitu sh mia!!!!
watu wengine hata hawajui hao kuku ila wanashoboka tu waonekane wa mjini hahahahahahahaahah eti oh cant wait hahaahahah
ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaa jua jiwe limempata mtu huko sorry sijamlenga mtu wewe hujaona watu hapo wanauliza lini inafunguliwa jamani??????????the only person who says can't wait mpaka sasa ni mimi @ nivea ...sasa una uhakika gan mkuu siwajui?unanijua mkuu? Sorry kama nimeku-offend bt kama ulinilenga mimi,utakuwa hujanitendea haki mkuu!