Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,008
- 112,668
Spin za wapenzi wa obama zinachekesha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sounds real gud.! Give a fool enough ropeMkuu usiwe na wasi wasi katika hilo, Obama atashinda katika uchaguzi - labda nikukumbushe kwamba kambi ya kampeini ya Obama ni wajanja sana, kitu kilicho fanyika jana ni kutaka kumchota akili Rommey kwa kumpatia mwanya wa kusema lolote hata kama ni uongo au kusahau alicho wahi kuahidi siku za nyuma na kusema kweli had a field day kwa kijiamini kupita kiasi - sasa angalia kilicho kuja tokea a day after! Raia wengi wa Merikani wamekwisha gunduwa kwamba maneno/ahadi nyngi za Rommey ni za kufikilika tu in other words ni muongo!
Kitu kingine watu wanacho sahau ni kwamba Baraka bado ni Rais wa Merikani - kwa hiyo hawezi kuanza kumtunia misuri Rommey au kuonyesha hasira na kutumia lugha zisizo za kistaarabu hiyo unamwachia mwenzako mwenye usongo wa kuingia Ikulu ajimalize i.e give a fool enough rope...., Obama is a gifted orator; jana sio kwamba alishindwa kujieleza au nini - ni mbinu tu hizo, we subiri mdahalo wa pili na wa tatu wa mwisho atakuja kuwashangaza wengi.
yes mkuu
but you can undress the liar kama umefanya homework yako
Obama kazi anayo,ni ngumu sana kwake kutetea kiti katika crisis kama hii,Amuulize Sarkozy
Romney, Obama wachuana vikali
COLORAD, Marekani
ZIKIWA zimebakia siku 33 kufanyika Uchaguzi mkuu wa Urais wa Marekani hatimaye wagombea Urais Barack Obama na mwenzake Mitt Romney wamefanya mdahalo wao wa kwanza kupitia televisheni ambao umeshangaza wengi baada ya kwenda kinyume na matarajio yao.
"Miaka minne iliyopita niliposimama katika jukwaa hili nilisema kuwa nitapunguza kodi kwa familia zenye kipato cha kati. Na hivyo ndivyo nilivyofanya. Tumepunguza kodi kwa familia za kipato cha kati kwa kiasi cha dola 3600. Na sababu ni kuwa naamini tutakuwa na mafanikio kama watu wa kipato cha kati watakuwa na mafanikio"
I am very impressed that a high-school age student wrote such a well organized an well thought out essay. It is organized, clever, thoughtful, and honest.Obama kapata kipigo kwenye debate ya kwanza tuache ubishi, debates are not about facts, haya mambo ya kutafuta facts baada ya debates ni kumtafutia visingizio Obama, Obama alionekana dhaifu na hakuwa teyari kwa uwezo wa Romney kwenye debate.
Obama hajawahi kuwa mzuri wa maongezi yoyote ya papo kwa hapo hata kwenye Q&A anakuwa ana pause kubwa wakati wa kujielezea, Obama ni mzuri wa kudeliver speech (na labda kuandika) tena lazima awe na teleprompter pembeni hii ni skill tofauti na kudebate, nadhani debate za 2008 na McCain ambaye ni mzee sana na ile Obama hysteria ya wakati ule zilimfanya Obama aonekane mkali kuliko alivyo.
Kwenye debates hizi atapata shida sana maana Romney ni rahisi zaidi kukwepa mashambulizi maana hajajiweka kwenye specific positions zozote, pia Romney ni kichwa tupende tusipende alipata double Masters degree akiwa Harvard, kazi anayo kwenye debates.
Ila kama debates zitabadili kura hilo ni swali tofauti sana.