The First Debate: Mitt Romney's Five Biggest Lies | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The First Debate: Mitt Romney's Five Biggest Lies

Discussion in 'International Forum' started by MaxShimba, Oct 5, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  President Barack Obama and Mitt Romney at the first Presidential Debate.
  SAUL LOEB/AFP/GettyImages

  By Tim Dickinson

  Mitt Romney turned in a polished performance in last night's presidential debate – and revealed himself to be an accomplished and unapologetic liar. In an evening where he sought to slice and dice the president with statistics, Romney baldly misrepresented his own policy prescriptions, made up numbers to fit his attacks and buried clear contrasts with the president under a heaping pile of horseshit.
  Here are mendacious Mitt's five most outrageous statements:

  1. "I don't have a $5 trillion tax cut." Romney flatly lied about the cost of his proposal to cut income-tax rates across the board by another 20 percent (undercutting even the low rates of the Bush tax cuts). Independent economists at theTax Policy Center have shown that the price tag for those cuts is $360 billion in the first year, a cost that extrapolates to $5 trillion over a decade.

  2. "I will not reduce the taxes paid by high-income Americans." Romney has claimed that he will pay for his tax cuts by closing a variety of loopholes and deductions. The factual problem? Romney hasn't named a single loophole he's willing to close; worse, there's no way to offset $5 trillion in tax cuts even if you get rid of the entire universe of deductions for the wealthy that Romney has not put off the table (like the carried interest loophole or the 15 percent capital gains rate.) The Tax Policy Center report concludes that Romney's proposal would create a "net tax cut for high-income tax payers and a net tax increase for lower- and or middle-income taxpayers." Moreover, some of Romney's tax cuts are micro-targeted at American dynasties, particularly his proposal to eliminate the estate tax, which would reduce his own sons' tax burden by tens of millions of dollars.

  3. "We've got 23 million people out of work or [who have] stopped looking for work in this country." Romney is lying for effect. The nation's crisis of joblessness is bad, but not 23 million bad. The official figure is 12.5 millionunemployed. An additional 2.6 million Americans have stopped looking for jobs. How does Romney gin up his eye-popping 23 million figure? He counts more than 8 million wage earners who hold part-time jobs as also being "out of work."

  4. Obamacare "puts in place an unelected board that's going to tell people ultimately what kind of treatments they can have." Romney is reviving Sarah Palin's old death panels lie here. Obamacare does establish an Independent Payment Advisory Board to help constrain the growth of Medicare spending. The body has no authority to dictate the practices of the private insurance marketplace. And the law also makes explicit that this body is banned from rationing care or limiting medical benefits to seniors.

  5. "Pre-existing conditions are covered under my plan." In the biggest whopper of the night, Romney suggested that his health care proposal would guarantee coverage to Americans with pre-existing conditions. This is just not true. Under Romney, if you have a pre-existing condition and have been unable to obtain insurance coverage or if you have had to drop coverage for more than 90 days because you lost your job or couldn't afford the premiums, you would be shit out of luck. Insurance companies could continue to discriminate and deny you coverage, as even Romney's top adviser conceded after the debate was over.


  Read more: The First Debate: Mitt Romney's Five Biggest Lies | Politics News | Rolling Stone
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Obama jana kapigishwa kwata hapakua na teleprompter

  sasa anadeki mazaga-zaga

  angekua well informed na allegations angebishana na Romney, lakini kwasababu alibugia SIMBI bila kusoma, imekula kwake
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  to the contrast, you can't debate with the "liar".
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Myth Romney has once again proven to the world on a major stage that he is a pathological liar and needs professional psychiatric medical help.


   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  big liar..
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  "Romney thrived in large part because he abandoned the pretense of honesty. And as it turns out, winning a debate is surprisingly easy when a candidate decides he can say anything and expect to get away with it."

  - Steven Benen
  [​IMG]

  (Source: The triumph of style over substance - The Maddow Blog)
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  These images are facts checkers

  [​IMG]
   
 9. N

  Natalia JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Obama lost the debate.60 million dollar lost
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  We go by empirical facts and not "LIES".
   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Start using your head and think before you post your mambo jambo.
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  yes mkuu

  but you can undress the liar kama umefanya homework yako
   
 13. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kutokufanya vizuri kwenye debate jana, leo Obama alikuwa Wisconsin na umati wa watu kama 30,000+ ulikuwepo kumsilikiliza. Wanajua Mitt alikuwa anaongopa tu bila aibu jana!.
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Romney, Obama wachuana vikali

  COLORAD, Marekani
  ZIKIWA zimebakia siku 33 kufanyika Uchaguzi mkuu wa Urais wa Marekani hatimaye wagombea Urais Barack Obama na mwenzake Mitt Romney wamefanya mdahalo wao wa kwanza kupitia televisheni ambao umeshangaza wengi baada ya kwenda kinyume na matarajio yao.

  "Miaka minne iliyopita niliposimama katika jukwaa hili nilisema kuwa nitapunguza kodi kwa familia zenye kipato cha kati. Na hivyo ndivyo nilivyofanya. Tumepunguza kodi kwa familia za kipato cha kati kwa kiasi cha dola 3600. Na sababu ni kuwa naamini tutakuwa na mafanikio kama watu wa kipato cha kati watakuwa na mafanikio"

  Hivyo ndivyo alivyoanza mazungumzo Rais Obama katika mjadala huo uliofanyika Chuo Kikuu cha Denver mjini Colorad na kutazamwa moja kwa moja kupitia televisheni na watazamaji wanaokadiriwa kufikia milioni 50.

  Obama alizungumza kwa muda mrefu lakini mpinzani wake Romney alimkosoa zaidi kwa namna anavyoendesha utawala wake jambo ambalo lilionekana kumgusa.

  Mkurugenzi wa Kituo cha Siasa na Masuala ya Umma, Terry Madonna alisema kuwa Obama hakuwa katika hali yake ya kawaida hivyo hakufanya vile ambavyo wafuasi wake na watu wengine duniani walivyotarajia.


  Romney alimshambulia Rais Obama juu ya histora yake ya kushughulikia matatizo ya kiuchumi lakini safari hii hakuropoka wala kutoa matamshi ya kutatanisha kama alivyozoeleka.

  Romney alitumia mtindo wa kushambulia na kisha kurejea katika nukta zake akionyesha namna atakavyoshughulikia kila kosa la Obama alilolionyesha.

  Wachambuzi wanasema kuwa Romney ameweza kumbwaga mpinzani wake katika awamu hiyo ya kwanza ya mdahalo.

  "Sina shaka akilini mwangu kuwa kama rais atachaguliwa tena mtaendelea kuona watu wa kipato cha kati wakishuka zaidi huku kipato kikipungua na bei zikipanda juu.
  Nitainua kipato tena. Tuna ukosefu wa ajira wa asilimia nane zaidi mwezi huu na kama nikiwa rais nitatoa nafasi mpya za ajira milioni 12 kwa nchi hii," alisema Romney.

  Kwa upande wa masuala ya afya , Romney aliuponda mpango wa afya, maarufu kama Obamacare, wenye thamani ya dola za Marekani trilioni 2.8 na kusema haufai lakini hakuweza kuja na mbadala sahihi kwa wapigakura.
  Masuala ya afya ni moja kati ya ajenda kuu kuelekea uchaguzi wa Novemba 6, mwaka huu. Mpango wa huduma za afya wa Marekani ndiyo wenye gharama zaidi kuliko nchi zote na unalaumiwa kuwa kuchangia katika kushuka kwa mishahara ya Wamarekani.

  Uchunguzi wa maoni uliofanywa na Kituo cha Televisheni cha CNN kwa watu wenye umri wa kupiga kura na walioangalia mdahalo huo unaonyesha kuwa Romney amepata asilimia 67 huku Obama akiambulia asilimia 25.

  Uchunguzi kama huo umefanywa pia na Kituo cha Televisheni cha CBS na Romney amepata ushindi.
  Huu ni mdahalo wa kwanza kati ya mitatu iliyopangwa kufanyika.

  Wagombea wenza kutoka pande zote mbili watakutana pia kwa mdahalo wiki ijayo. Watu wanasubiri kuona nini kitajiri kati ya mgombea mwenza wa Obama Joe Biden kutoka Chama cha Democrat na yule wa Romney Paul Ryan kwa tiketi ya Chama cha Republican

  Romney, Obama wachuana vikali
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Obummer bila prompter ni janga. Mdahalo ujao wamruhusu aitumie lol
   
 16. escober

  escober JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nakubaliana kuwa obama alishindwa na romney kwenye issues ambazo zingekuwa ngumu kwake kuzielezea kama vile uchumu na unemployment lakini katika debate itakayohusisha masuala mengine kama international policy obama atafanya vizuri
   
 17. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Romney ni mshenzi, kaniuzi kishenzi. Baadala ya kuongeea sera zake anakazana kumshambulia ndugu yetu Obama. Sasa mjaluo wetu yupo hali mbali. Tuunganishe nguvu jamani
   
 18. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Obama atavuka bila matatizo kwani wamarekani wanajua anachokifanya na siku zote republican huaribu mambo kwa sera zao mbovu na za kibabe.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  kwaakwaaa teh teh teh kwikwikwii wee ulitaka amsifie?
   
 20. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu usiwe na wasi wasi katika hilo, Obama atashinda katika uchaguzi - labda nikukumbushe kwamba kambi ya kampeini ya Obama ni wajanja sana, kitu kilicho fanyika jana ni kutaka kumchota akili Rommey kwa kumpatia mwanya wa kusema lolote hata kama ni uongo au kusahau alicho wahi kuahidi siku za nyuma na kusema kweli had a field day kwa kijiamini kupita kiasi - sasa angalia kilicho kuja tokea a day after! Raia wengi wa Merikani wamekwisha gunduwa kwamba maneno/ahadi nyngi za Rommey ni za kufikilika tu in other words ni muongo!

  Kitu kingine watu wanacho sahau ni kwamba Baraka bado ni Rais wa Merikani - kwa hiyo hawezi kuanza kumtunia misuri Rommey au kuonyesha hasira na kutumia lugha zisizo za kistaarabu hiyo unamwachia mwenzako mwenye usongo wa kuingia Ikulu ajimalize i.e give a fool enough rope...., Obama is a gifted orator; jana sio kwamba alishindwa kujieleza au nini - ni mbinu tu hizo, we subiri mdahalo wa pili na wa tatu wa mwisho atakuja kuwashangaza wengi.
   
Loading...