The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Hahaha Sizinga sikuwezi hayo maeneo inabidi kuyapitia na kuweka muhuriDuh mkitoka TIP TOP,hembu pitieni pale Mabibo mwisho,bar mpya baadae tumalizie mipango yooooooe pale opposite 2nd gate LOYOLA kwa mama naniliii...!!coz nishatoa oda ya roast mbuzi katoliki kilo 3.
Samora thanks sasa kwa Gude inakuwaje leoHappy birthday mpwa! have a gud one..:drum::horn::violin:
Ahaaa ahaaa Sizinga i rest my case umenimaliza lolView attachment 29205
Yuleeeee nakuona unakula lecture...achana na mambo ya uchumba bana!! Ngoja niishie hapa,manake naweza nikakuwekea picha nyingine za primary ukivyochungulia wasichana kwa kioo...bwa..bwa..bwaaaaa!!
Hahahaha vp usajiri unalipa lakini eneo husika?
Kama mwenye bar amefanya usajiri ovyo watu watahamia pale kwa Tiba
Tatizo la fidel vibururdisho vizuri i=anajimilikisha yeye mwenyeweLakini mwenyewe kadai ni conflict of interest with u...nadhani anamaanisha mlikuwa na "Bifu"....bwabwabwabaaaaa
Nafikiri hii ni kwa ajili ya tukio la leo tu Fidel mimi nataka kununua share acha hizo banaaHahahaha hakuna bifu Sizinga ningekuwa na bifu nae ningemkaribisha Tip Top? na nimesha mwandalia na kiburudisho cha kumpa massage leo.
Mama yangu weee! Mkuu sasa wewe na pumperz unaenda kwenye mbwendembwende? Kweli watoto wa kizazi hichi wanakua wakiwa tumboni. Hebu nipatie mtu wa kukaa na mimi karibu mkuu, nasikia mambo ya continental si mchezo lazima uwe na back up.Zanta nashukuru hebu ibuka Club Continental mambo ya Khanga Moja lol!!!
Kuna haja ya kufanya SurveyHahahaha vp usajiri unalipa lakini eneo husika?
Kama mwenye bar amefanya usajiri ovyo watu watahamia pale kwa Tiba
Halooo!!! Sizinga lollol...no comment for tht!! Ila kuna wahaya pale nearby,ukishaweka glass moja tu mezani,wanaanza kujipitisha,so kazi kwako coz nasikia kuna kuku moja inatafuna vifaranga vyake baraa!!
Nazungumza na wataalamu wawili SIZINGA na FIDEL hawa jamaa wana back up nzuri sana, Club Continental Fidel ana back up hadi 5Mama yangu weee! Mkuu sasa wewe na pumperz unaenda kwenye mbwendembwende? Kweli watoto wa kizazi hichi wanakua wakiwa tumboni. Hebu nipatie mtu wa kukaa na mimi karibu mkuu, nasikia mambo ya continental si mchezo lazima uwe na back up.
Sizinga mida hiyo mchemsho utakuwa bado upo??Basi mida mibaya pitieni hapo...mtanikuta nimejaa teleee!! nadhani umejijibu mwenyewe, ni ufundi tu wa kibiashara!!
Sijui ni kwa nini wanakuita THE FINEST
Sijui ni kwa nini wengi tunakupenda..
Sijui ni kwa nini twa taka kukujulia hali..Sijui ni kwa nini tunapenda kufurahi nawe.
happy Birthday, The Finest
happy Birthday, dear
happy Birthday, to you
Mungu akujalie maisha marefu
yenye amani,upendo, utulivu
Na Mwenyenzi Mungu akuongeze
Busara na Hekima katika maisha yako
Na tunawatakia Birthday Njema kwa walio zaliwa siku hii ya leo Mbarikiwe sana.. Amen..
Halafu wewe Keren...ngoja tu nikae kimya, Mbona wanaifanyia hivyo ndo nini kukaa kimya hata hutaki kujua hali yangu? Hebu njoo chumbani nikunong'oneze leo uvae nini kwenye birthday ya TF, Najua kuna ka vazi fulani ukikavaa mie hua hoi.!!:bange:
Mkuu nashukuru sana wewe tena ukosekane kwenye list ya wageni wewe ni namba 5Kiongozi katika msafara wa mamba naomba niwe kenge niungane na huu msafara!!!Please The Finest...........Bira kusahau kusema neno hili.....Hapi birthday The Finest
teh teh teh Ngoja niwasikilizie makamanda wanitonye na mimi nikajionee mambo ya Continental. :bange:Nazungumza na wataalamu wawili SIZINGA na FIDEL hawa jamaa wana back up nzuri sana, Club Continental Fidel ana back up hadi 5
Sizinga mida hiyo mchemsho utakuwa bado upo??
teh teh teh Ngoja niwasikilizie makamanda wanitonye na mimi nikajionee mambo ya Continental. :bange:
hahahhaha kweli kabisa mamito hapa kuna makabaila wengi hawachelewi kuharibu, haya mambo utaninong'oneza chumbani:israel:Mhhh...ngoja tu nami ninyamaze.... maana sitaki ugomvi kwenye kandamnasi........
kamanda kama babu anavyosema "Hodi ya Chooni haiiitikiwi Karibu":happy:Zanta haya ni mambo ya uswazi...sijui kama utayaweza..lol