Pacha umemtoa wapi huyo dada mzuri hahaha lol
<br />hahahahh lol<br />
Sis we mchokozi wewe<br />
kwani alisahau duuhhhh
hahahahah lol
TF leo hata lala mmhh
twin rudi juu utaona wimbo wangu
nime u edit kwenye kale kabinti karembo hahah lol
I am short of words, thank you so much for this wonderful present i really do appreciate it so so much
Sijui ni kwa nini wanakuita THE FINEST
Sijui ni kwa nini wengi tunakupenda..
Sijui ni kwa nini twa taka kukujulia hali..Sijui ni kwa nini tunapenda kufurahi nawe.
happy Birthday, The Finest
happy Birthday, dear
happy Birthday, to you
Mungu akujalie maisha marefu
yenye amani,upendo, utulivu
Na Mwenyenzi Mungu akuongeze
Busara na Hekima katika maisha yako
Na tunawatakia Birthday Njema kwa walio zaliwa siku hii ya leo Mbarikiwe sana.. Amen..
MR ndio nimeamka si unajua tenaHheheee wapi TF bahati ilioje leo maana kapata zawadi ya nguvu mhh ngoja nikatume kakamuamshe kwa kumuimbia huu wimbo
Asante Dada yangu mpendwaHongera Finest kukumbuka siku yako uliyozaliwa..
Thank you so much WL najua nina kesi kwako sijaimaliza ila me and you hakuna lililoharibika lolHappy Birthday Finest,have a blsd one:hug:
Thank you so much BWHappy Birthday TF
Sizinga Mkuu ndio nimegonga 18 yaani bado kijana kabisa lolhow old r u ??the finest