The fastest thing in the in the world

The fastest thing in the in the world

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,034
Wajamaica wanne walikuwa wameketi huku wakipata majani mdogo mdogo.Baada ya bangi kupanda vizuri vichwani mwao wakaanza kujiuliza...what is the fastest thing in the world? JUNGLEMAN;Mi nadhani wazo ndo kitu chenye kasi zaidi duniani kwasababu kabla hujawaza, wazo lipo tayari. MANGOTON;Hapana bwana,kitendo cha kufumba na kufumbua macho ndo kitendo cha kasi zaidi duniani kwasababu hata kabla ya kuwaza unafumba na kufumbua macho haraka saana . NATTY DREAD;Acha hizo wewe,umeme ndo kitu chenye kasi zaidi kwasababu ukiwasha switch tu,umeme ushafika na ku supply energy sehemu mbali mbali. JAH RASTA;Nyie wote vilaza,hakika kuharisha ndio tendo la haraka zaidi duniani.Jana usiku kabla sijafumba na kufumbua macho,sijawaza wazo lolote na wala sijawasha taa,tayari nilishajiharishia ndani ya suruali yangu.
 
Back
Top Bottom