The fall of Gupta brothers, Mayahudi watu hatari sana

Brother hatubishani hapa katika article hii ina mambo mengi lkn miongoni mwa mambo yaliiwaangusha Gupta ni kutaka kuwaonyesha umwamba prominent rich families mfano familia kubwa ya kiyahudi ya Oppenheimer's. Na kwann nimechukua sehem hio ni sababu historia yao ya kuwasumbua yyt anaeingia ktk 18yao lipo andiko la barafu wakat anamtahadharisha Ndugu magufuli na barrick ukiipitia utaelewa vyema.

("one that pitted them against the Oppenheimers, the family dynasty that had been South Africa’s most powerful for a century.

The Oppenheimers had sold their shares in Anglo American and De Beers for billions. The heirs to the fortune — Nicky Oppenheimer and his son Jonathan, both passionate aviators — opened an ultraluxury private terminal in Johannesburg’s main airport in 2014, with fine dining and a gallery with art for sale.
But the Oppenheimers couldn’t get permission to handle international flights. Despite countless letters and calls to A.N.C. officials, the Oppenheimers were getting nowhere.
Eventually, they sued the government, accusing the Guptas of using their political influence to stall the business. The brothers, the Oppenheimers said, wanted in on the terminal.
According to court documents, the Guptas sent a message to the Oppenheimers that they had “the wrong B.E.E. partner” — referring to the Black Economic Empowerment program. If the Oppenheimers chose a partner endorsed by the Guptas, the documents said, their “problems would go away.”)

Uzi mzuri sana ila mimi kinachonishangaza ni kwamba WAYAHUDI wanasifiwa ( hata kama ni indirectly kwamba wana akili n so forth)na WAHINDI wanapondwa wakati wote hawa Wayahudi na Wahindi ni wageni na ni wanyonyaji kwa ndugu zetu waafrika kusini . Kila mmoja ana fight kupata ushawishi kwenye government kwa kutumia rushwa kwa viongozi na familia zao. Hivi ni kwa nini? Sipati picha hao Wayahudi wangekuwa ni Waarab matusi yao yangekuwaje humu
 
Gupta family ndio wamefanya SA ina upungufu wa umeme maana enzi za Zuma waliingia mikataba hewa ya kusambaza mitambo ya kuzalisha umeme na kufanya ukarabati kwa kitu ambacho hakipo na Zuma kwenda Jela sio swala la kisiasa ni kweli alifanya mambo ya kipuuzi mno...
 
Mada kama hizi ukiweka siku hizi zinapitwa bila uchangiaji...
Jf kuna kundi kubwa sana la wajinga siku hizi...
 
Sijui hata uhatari wa wayahudi unahusiana vipi na hii habari ya Gupta,
zuma alikua kabakiza mwaka mmoja tu kabla hajaondolewa,naona ANC ni kawaida yao kuondoa viongozi wakizengua,kumbuka mbeki alivyotolewa kwenye umwenyekiti wa chama,hapa hakuna cha uyahudi wala nini,
halafu Gupta na sifa zote zile kumbe wana utajili wa milion 800 usd?!!
Hawamzidi hata MO
Guptas ni matajiri kuanzia India ya kale.
 
Back
Top Bottom