The fall of Gupta brothers, Mayahudi watu hatari sana

Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,665
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,665 2,000
another point,Jonathan Oppenheimer networth 10 bilion usd.

Gupta networth 800 milion usd
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,618
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,618 2,000
Hii habari ukianza kuisoma unajikuta umelazimika kuimaliza.

Mimi imenikumbusha kuna jamaa alisema "siongei na mbwa, naongea na mwenye mbwa", sasa baadae mbwa ndo kama mwenye mbwa.

Jamaa walifanya wrong calculations kuhusu successor wa Zuma, ubaya wenyewe Ramaphosa katajirishwa na Wazungu kwa mujibu wa hiyo article, kwa hiyo hata kuingia kwake wazungu walisimamia sana itakuwa.
 
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
3,066
Points
2,000
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
3,066 2,000

Hewalaaaaaa mkuuu
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
684
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
684 500
Dah noma sana ..mayahudi ni hatari mnoo..
Siyo hatari wana umoja.

wewe ndo mtu hatari, usokuwa na umoja na ndugu yako, angalia sasa mnauana hovyo, mnachukiana kwa sababu ya mali ya myahudi huyohuyo,

ningekuona wa maana kama ungesema tuwe kama hawa jamaa.

wangekaa chini waulize brother Xuma what went wrong? wamrekebishe

Hata huyu mwanawe Duduzane wamemuonea tu sababu ya Urais wa bababe, africa hiyo
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
684
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
684 500
Hii habari ukianza kuisoma unajikuta umelazimika kuimaliza.

Mimi imenikumbusha kuna jamaa alisema "siongei na mbwa, naongea na mwenye mbwa", sasa baadae mbwa ndo kama mwenye mbwa.

Jamaa walifanya wrong calculations kuhusu successor wa Zuma, ubaya wenyewe Ramaphosa katajirishwa na Wazungu kwa mujibu wa hiyo article, kwa hiyo hata kuingia kwake wazungu walisimamia sana itakuwa.
huwezi tajirika bila mzungu acha longo2 popote duniani
 
kiss daniel

kiss daniel

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Messages
229
Points
1,000
kiss daniel

kiss daniel

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2019
229 1,000
Hapo kwenye avatar ndo wewe mkuu
Siyo hatari wana umoja.

wewe ndo mtu hatari, usokuwa na umoja na ndugu yako, angalia sasa mnauana hovyo, mnachukiana kwa sababu ya mali ya myahudi huyohuyo,

ningekuona wa maana kama ungesema tuwe kama hawa jamaa.

wangekaa chini waulize brother Xuma what went wrong? wamrekebishe

Hata huyu mwanawe Duduzane wamemuonea tu sababu ya Urais wa bababe, africa hiyo
 
JEKI

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Messages
3,845
Points
2,000
JEKI

JEKI

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2013
3,845 2,000
Mambo mazito haya yanahitaji muda kuyasoma.
 
MAMESHO

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
294
Points
250
MAMESHO

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
294 250
Mkuu hii ni article ya new york times Nimeiona nieweke tu yote ili watu wafaidi kuisoma. Inazungumzia kupanda na kushuka kwa Gupta brothers wao walikuwa wafanyabiashara wenye nguvu wenye asili ya kihindi south africa , walikuwa na ushawishi mkubwa serikali ya zuma. Lakini asili ya nguvu yao ilianza kwa mbeki ikatamalaki ktk serikali ya Zuma. Wakafikia mahala wakamfanya mtt wa Zuma na mtt wa katibu mkuu wa ANC wakati huo kuwa business partner wao. Utajiri wao umekuja ndani ya miaka 20 kutoka kuuza viatu kuwa mabilionea.
Sasa in short walifika mahala ndani ya south Africa wanajiskia kafanya chochote sehemu waliokwama ni baada ya kujiona wa kiburi kikubwa wakafikia mpaka kuingilia maslahi na kutaka ushindani na biashara ya myahudi (familia ya Harry Oppenheimer) wachimbaji wakubwa wa Almas na matajiri wakubwa south Africa. Hapo ndio anguko lao na anguko La bwana Zuma. Hakika ukisoma hio makala yote itakupa raha sana kujua wnasiasa wa south Africa wamemgusa Mandela kidogo alivokuwa anapewa Mzigo na wayahudi/wazungu, mbeki na hata Zuma.
umechambua vizuri mkuu,, uchumi wa afrika kusini ni uchumi wa kisiasa (political economy)
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,760
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,760 2,000
Hiki kisa kinanikumbusha kisa cha Nyerere na Tiny Rowlands.

Mabepari ni watu hatari sana. Kubali "kula uliwe" utabaki salama.
 
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
3,066
Points
2,000
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
3,066 2,000
Hiki kisa kinanikumbusha kisa cha Nyerere na Tiny Rowlands.

Mabepari ni watu hatari sana. Kubali "kula uliwe" utabaki salama.
Maalim Faiza hebu tupe khabar ya hicho kisa
 
kinusikwetu

kinusikwetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
899
Points
1,000
kinusikwetu

kinusikwetu

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
899 1,000
Naona zero connection Kati ya Gupta na wayahudi nonsense
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,760
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,760 2,000
Maalim Faiza hebu tupe khabar ya hicho kisa
"Briefly"

Tiny Rowlands ni mwekezaji wa kutokea nchi za Magharibi (kama sikosei UK) aliyewekeza nchi za Afrika na Tanzania, Rhodesia (Zimbabwe kwa sasa) na Afika Kusini zikiwemo.

Kuna wakati marehemu mzee Nyerere alisema vikwazo vya kiuchumi vya Umoja wa Mataifa vilivyowekwa kwa serikali ya kibaguzi ya Afrika Kusini vinawahusu pia wawekezaji wa Magharibi waliowekeza Afrika Kusini kwa hiyo Tiny Rowlands kwa kuwekeza kwake Afrika Kusini na hapa Tanzania kwa kampuni yake ya Lonrho kwa kuendeleza uwekezaji Afrika Kusini anapaswa ataifishwe uwekezaji wake hapa
Tanzania.

Tiny Rowlands akataifishwa hapa Tanzania uwekezaji wake (alikuwa kawekeza kwenye kiwanda cha kuunga matrekta (tractors assembly plant) na mashamba makubwa).

Tiny Rowlands alipoona anataifishwa akaja Tanzania kujaribu ku "rescue" mali zake, haikuwezekana. Na nnakumbuka ndipo Nyerere akasema haangalii nyuma akiangalia nyuma atageuka jiwe, akimaanisha hata iweje harudishi mali za Tiny alizotaifisha.

Kama uonavyo hawa mabepari mitandao yao ya kiuchumi ni mipana sana duniani, basi naam, tukabanwa kila upande (wakakaba mpaka penati) (kama walivyobanwa kina Gupta katika kisa ulichokileta). Ndio wakati huohuo tukatangaziwa kufunga mikanda.

Kama nchi tukawa hohehahe kwa kibano hicho, miaka kadhaa baada ya Nyerere kuona hakuna pakutokea akarudisha mali za Tiny Rowlands. Maisha yakaendelea.

Rejea: https://www.cambridge.org/core/journals/itinerario/article/nationalization-of-lonrhos-business-interests-in-postcolonial-tanzania/63CA63217A15B7596BCF2F324615B65F
 
Katika watu waliomuweza Marehemu Mzee Nyerere basi hakuna kama Tiny Rowlands.

Hawa mabepari inatakiwa kama alivyosema Rais mstaafu Kikwete "kula uliwe" na kama alivyorudia kauli hiyo Rais Magufuli wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha gas cha Rostam Aziz.
 
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Messages
2,502
Points
2,000
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2014
2,502 2,000
But how does Gupta brandishing their power,jetting arround in their private jet,having influence to some handfull politician relate to wayahudi ni watu hatari sana?
Where is the connection,that is what i want to know?
Soma article nzima.ukiona sehemu jina la Oppenheimer limetajwa,Is where the connection is.Soma kwa utulivu tu.
 
Forum statistics

Threads 1,315,686
Members 505,292
Posts 31,866,917
Top