The fall of Gupta brothers, Mayahudi watu hatari sana

BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
3,066
Points
2,000
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
3,066 2,000
gupta ni newcomer africakusini,huwezi linganisha na hao wayahudi wa Deebers,hata kiutajiri tu hawa Gupta kumbe hawamzidi hata MO wa bongo,asilimia kubwa ya makaburu ni wayahudi,hakuna jipya kwa hii family moja ya kiyahudi kuegemea upande wa mandela enzi za ubaguzi,hata nyerere kuna wazungu walimsupport enzi za ukoloni
Gupta ktk vitabu estimated networh ni 800m lkn wako kwwnye billions sababu kazi yao kubwa hao ni money laundering mpk bank of Baroda south Africa wanairun wao kwa Mzigo wao mkubwa kwwnye article hapo kuna almost 8000 transactions za mana zimefichwa na Baroda ambz ni laundering mpk HV Baroda wanaondoka south Africa sababu wenye kuweka hela nyingi hawapo tena wamekimbia dubai
 
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
4,360
Points
2,000
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
4,360 2,000
Wayahudi si mchezo japo baadhi wa ndugu zangu tunawadharau ila mijamaa inatumia akili nyingi sana
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,665
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,665 2,000
But how does Gupta brandishing their power,jetting arround in their private jet,having influence to some handfull politician relate to wayahudi ni watu hatari sana?
Where is the connection,that is what i want to know?
 
semper saratoga

semper saratoga

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
840
Points
1,000
semper saratoga

semper saratoga

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
840 1,000
Huoni heshima hadi sasa ya Mandela ni kukubali kuwa na myahudi? Huoni Myahudi alivyokula sahani moja na weupe ili weusi nao wajimwae? Huoni kuporomoka kwa zuma kulitokana na Gupta kujifanya much know kwa myahudi?
Sasa mbona kwa sehemu kubwa ya article yako kashfa na ufisadi unawahusisha familia ya kihindi ya kina Gupta?
 
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
3,066
Points
2,000
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
3,066 2,000
But how does Gupta brandishing their power,jetting arround in their private jet,having influence to some handfull politician relate to wayahudi ni watu hatari sana?
Where is the connection,that is what i want to know?
Brother hatubishani hapa katika article hii ina mambo mengi lkn miongoni mwa mambo yaliiwaangusha Gupta ni kutaka kuwaonyesha umwamba prominent rich families mfano familia kubwa ya kiyahudi ya Oppenheimer's. Na kwann nimechukua sehem hio ni sababu historia yao ya kuwasumbua yyt anaeingia ktk 18yao lipo andiko la barafu wakat anamtahadharisha Ndugu magufuli na barrick ukiipitia utaelewa vyema.

("one that pitted them against the Oppenheimers, the family dynasty that had been South Africa’s most powerful for a century.

The Oppenheimers had sold their shares in Anglo American and De Beers for billions. The heirs to the fortune — Nicky Oppenheimer and his son Jonathan, both passionate aviators — opened an ultraluxury private terminal in Johannesburg’s main airport in 2014, with fine dining and a gallery with art for sale.
But the Oppenheimers couldn’t get permission to handle international flights. Despite countless letters and calls to A.N.C. officials, the Oppenheimers were getting nowhere.
Eventually, they sued the government, accusing the Guptas of using their political influence to stall the business. The brothers, the Oppenheimers said, wanted in on the terminal.
According to court documents, the Guptas sent a message to the Oppenheimers that they had “the wrong B.E.E. partner” — referring to the Black Economic Empowerment program. If the Oppenheimers chose a partner endorsed by the Guptas, the documents said, their “problems would go away.”)
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
Article nzuri sana hii.
Nikipata muda nitaimalizia.

Nimeishia hapo Gupta anameet na jamaa anayejuana na Mbeki.
 
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined
Apr 29, 2016
Messages
13,344
Points
2,000
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined Apr 29, 2016
13,344 2,000
Wayahudi ni nyoko sana
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,665
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,665 2,000
Nchi za kiafrika ni kawaida uongozi unapobadilika unakuja na mambo yake,Gupta ni mhanga wa hiyo hali, oppenheimers ni wakongwe wa south africa tangu zama za kudai ukombozi,madaraka yalibadilika influence ya oppernheimer ikafunikwa na new kids on the block,yaani Gupta,ndo maana walipata tabu kuruhusiwa kuendesha hiyo terminal mpaka waongee na kina Gupta,
itakuwa hawa kina Gupta walipata nguvu sana kipindi cha rais Zuma,
then change happened,
mambo yanabadirika,mfano loliondo walikuwa hawashikiki enzi za mwinyi then wakafifia,au hata kesi ya home shopping centre etc,kila zama na mambo yake,
ili nisiumize sana feeling za watu humu,haya nimekubali,wayahudi watu hatari sana,
case closed
 
N

narumuk

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
1,950
Points
2,000
N

narumuk

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
1,950 2,000
Sasa mbona kwa sehemu kubwa ya article yako kashfa na ufisadi unawahusisha familia ya kihindi ya kina Gupta?
Sawa ila ukiisoma kiundani unaona jinsi ambavyo mafisadi wakuu wanavyotutawala kwa migongo ya weusi wenzetu. Aidha unaona madhira yanayo au yatakayompata JPM kwa kutaka TZ ijinasue kutoka makucha ya hao jamaa. Ukiona 2020 twende na membe hizo ni mbinu na mikakati ya wale ambao JPM amewanyang’anya tonge wanamrudi kama huyo myahudi. Hapa nalinganisha na issue ya Mbeki
 
N

narumuk

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
1,950
Points
2,000
N

narumuk

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
1,950 2,000
Nchi za kiafrika ni kawaida uongozi unapobadilika unakuja na mambo yake,Gupta ni mhanga wa hiyo hali, oppenheimers ni wakongwe wa south africa tangu zama za kudai ukombozi,madaraka yalibadilika influence ya oppernheimer ikafunikwa na new kids on the block,yaani Gupta,ndo maana walipata tabu kuruhusiwa kuendesha hiyo terminal mpaka waongee na kina Gupta,
itakuwa hawa kina Gupta walipata nguvu sana kipindi cha rais Zuma,
then change happened,
mambo yanabadirika,mfano loliondo walikuwa hawashikiki enzi za mwinyi then wakafifia,au hata kesi ya home shopping centre etc,kila zama na mambo yake,
ili nisiumize sana feeling za watu humu,haya nimekubali,wayahudi watu hatari sana,
case closed
Upo sahihi mkuu, kuna siku ukweli wa JK na mafisadi utajulikana
 
BelindaJacob

BelindaJacob

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2008
Messages
6,140
Points
2,000
BelindaJacob

BelindaJacob

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2008
6,140 2,000
Amin amin nakuambia,hata mleta uzi hajausoma uzi wake
Nimeusoma wote bila chenga. Ukiwa msomaji na unaelewa lugha hupati shida. Pia uwe na interest na hiyo article. Hawa 'Gupta brothers' nimewafuatilia sana.
 
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,229
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,229 2,000
Inaonekana na habari nzuri nkiunganisha picha... Ila kwa lugha uliyotumia my friend...

Utapata likes za wazungu wenzake tu....

Hakuna mswahili atakayelike asichokijua....

Mi napita naenda zangu...
 
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
3,066
Points
2,000
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
3,066 2,000
Nchi za kiafrika ni kawaida uongozi unapobadilika unakuja na mambo yake,Gupta ni mhanga wa hiyo hali, oppenheimers ni wakongwe wa south africa tangu zama za kudai ukombozi,madaraka yalibadilika influence ya oppernheimer ikafunikwa na new kids on the block,yaani Gupta,ndo maana walipata tabu kuruhusiwa kuendesha hiyo terminal mpaka waongee na kina Gupta,
itakuwa hawa kina Gupta walipata nguvu sana kipindi cha rais Zuma,
then change happened,
mambo yanabadirika,mfano loliondo walikuwa hawashikiki enzi za mwinyi then wakafifia,au hata kesi ya home shopping centre etc,kila zama na mambo yake,
ili nisiumize sana feeling za watu humu,haya nimekubali,wayahudi watu hatari sana,
case closed
Hio familia ya Oppenheimer fuatilia historia yake na familia nyingi za kiyahudi huwa zinakuwa turufu na wababe. Nakupa mfano tu wa debeers walivomsumbua Dr williamson. Na pili swala la Gupta ukiliangalia kwa jicho kubwa utajua kwann walifeli walipoingia mgogoro na hio familia wapo watu walishirikiana na Zuma hata Mwenye kashfa ya 4.3 billion wahindi lkn mambo yalienda poa sabb walisamamia maslahi yao na sio kuingilia mipaka ya watu
 
igwee frm anambra

igwee frm anambra

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Messages
604
Points
1,000
igwee frm anambra

igwee frm anambra

JF-Expert Member
Joined May 16, 2015
604 1,000
1: si sahihi ku copy & paste the longest article like that... ungeweka link ingependeza zaidi

2: km uliamua kutusaidia ungeiweka kwa kiswahili ili wengi waelewe.

3: umewataja wayahudi ni hatari" haina mahusiano na article yako ..... inawezekana hujaielewa pia.
 
igwee frm anambra

igwee frm anambra

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Messages
604
Points
1,000
igwee frm anambra

igwee frm anambra

JF-Expert Member
Joined May 16, 2015
604 1,000
3: sidhani km umepata kibali ....since all their rights are reserved.
screenshot_2018-12-23-12-59-03-jpg.975287
 
GreatSeal

GreatSeal

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,040
Points
2,000
GreatSeal

GreatSeal

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,040 2,000
Huku mgombani hata ufanyaje huwezi kumaliza kusoma yoote haya, nafkir nitairudia tarehe 5 nikirudi ubashiteni
 
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
11,865
Points
2,000
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
11,865 2,000
Article nzuri sana. Kujikweza siyo poa kabisa. Ila watu weusi ni mbumbumbu sana. Hilo toto la Zuma limekaa kwenye picha linajichekeshachekesha tu.
 
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
3,066
Points
2,000
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
3,066 2,000
1: si sahihi ku copy & paste the longest article like that... ungeweka link ingependeza zaidi

2: km uliamua kutusaidia ungeiweka kwa kiswahili ili wengi waelekeze

3: umewataja wayahudi ni hatari" haina mahusiano na article yako ..... inawezekana hujaielewa pia.
1. New York times unawajibu kusubscribe na kulipia kusoma articles na free huwa mwisho 4 kwahio ningeweka link huwenda wengine wasingesoma aidha wamefikia limit or else. Na pia jf hainizuii mie kuweka article sababu sio Twitter ambayo ina limit ya maandishi.
2. Nimeamua kuweka article kwa lugha tajwa ili nisipoteze ladha na hata ww waweza kutafsiri kama ulivoamua kucomment na pale kwwnye summary tumefanya kama unasoma post
3. Huenda ukawa huwajui familia ya Oppenheimer na siasa za kusini za Africa hasa kwenye biashara ya Madini na nyinginezo (google utawapata) ilichotumika kwenye article ni kuchukua a puzzle na kuling'angamua wanaita critical thinking. Na pia sababu ww ulitaka utafsiriwe kiswahili basi mtafte ole sigala utaelewa zaidi hio article
 
Forum statistics

Threads 1,315,679
Members 505,292
Posts 31,866,577
Top