Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
Tueleze unataka kujenga wapi?, Je una kiwanja! Kama una kiwanja , umetafuta ramani ? Pesa yako (5m) inatosha kuanza ujenzi, na utafanya finishing taratibu. Kila la kheri[/QU £kiwanja ninacho sasa nahofia nisije nikaanza ujenzi halafu hii mil.5 isitoshe ndio mana nikaja kuuliza hapa
Habar zenyu wana jf nakuombeni msaada wa haraka tafadhalini! Ninataka kuanza ujenzi wa nyumba ya kawaida self ya room 3 nina shilingi mil.5 tofali nitatumia za kuchoma! Nawasilisha
kaka naona vitu vya wadogo wako hapa wewe ni maji mafupi huna sababu ya kuvuka kwa kuogerea pita kwa kukunja suruali tuWill help when u plan for dream house!!!! I leave this for fundi mchundo, u dnt need engineer here!!!!!!!!
million 5 seriously kwa residential ya 3 bedrooms, na other facilities like sitting, dining, kitchen,store, baraza, n things like those, 4 sure hata msingi humalizi,, gharama za ujenzi zimepanda sana,,,, unless unaongelea room tatu as rooms kabisa bila chochote cha ziada, mayb 5 million itakupeleka kwenye ringbeam.,, but 4 sure bro, mimi ni mtaalamu wa ujenzi, nakushauri professionally, i have a lot of experience kwenye ujenzi,,, 5 million ni kidogo sana
Habar zenyu wana jf nakuombeni msaada wa haraka tafadhalini! Ninataka kuanza ujenzi wa nyumba ya kawaida self ya room 3 nina shilingi mil.5 tofali nitatumia za kuchoma! Nawasilisha
Hiyo pesa huendi popote, labda kama unazungumzia vyumba vya 1mx 2m. Hiyo pesa hata msingi hauishi. Labda kama unajenga ukonga kwenye ardhi ya mchanga.
ha ha ha....your ID tells all kama sio feki. by professional ushauri wako utamsaidia sana
Wewe unaonekna upo morogoro au mbeya::: 5mil inatosha na chenji inabaki..Tofali za kuchoma moja sh 50/= na chumba kimoja kinachukua matofali 2000,kwahyo vyumba vi3 blocks 6000;::Ukijumlisha matofali 4000 kwa ajili ya sebule na store/kitchen 1.Matofali=500000/= 2.Ufundi hadi juu 400000/= 3.Andaa bati 30:;;450000/= 4.Nondo 10(12mm,10mm);;;170000/= 5.Mifuko ya cement 25:::350000 6.Mchanga Loli 5::::300000 Mpaka hapo ushatumia Apprx:;;2.1mil hiyo chenji utanunulia mbao na Gypsum wiring na kuvutia umeme na chenji inabaki kama upo moro au mbeya ni PM ahsante mkuu lakini mimi niko kilimanjaro na kwenye maelezo hujaonyesha kama kuna mawe unaweza kurudia mkuu?
Apolonary hyo hela inatosha sana nimekupa hiyo kukuonyesha mwanga tu swala la mawe sio issue sana tena kwa huko ni very cheap hiyo 2.9mils ina cover miscellenous