The Emperor Jean-Bedel Bokassa

Moja ya majumba yake ya ufaransa

jean-bedel-bokassa-with-his-children-in-his-hardricourt-castle-in-picture-id108554077
 
Maisha haya ni mafupi sana usipoyafaidi yenyewe hua na tabia ya kutufaidi.....
Well done Bokasa umepitia ugumu wa uyatima kisha ukaponda raha sana, ukapiga kila papa uliyotaka then ukazeeka katika umasikini tena, ila raha na tabu za dunia umezifaidi kenge wewe kula tano
 
Haya ni mabaki ya swimming pool inavyoonekana leo aliyojenga kwenye jumba lake kijijini alikozaliwa... imejaa maji ya mvua yameota mpaka ukurutu wa kijani kwa sababu hakuna mfanyakazi wa kusafisha hiyo swimming pool. Hivi vyeo vinapita tu jamani...

images


Source: Daily Mail Newspaper
Ni kuukimbiza upepo hadi dikteta amini siku za mwisho wa uhai wake alijutia sana kuukimbiza upepo hakuona faida yake
 
Mwafrica ni mwafrica tu,starehe na ngono
Ndo ulipofikia uwezo wetu jumlisha na visasi,wakoloni weupe walituletea maendeleo, hawa weusi wanaturudisha nyuma kimaendeleo wanaiba Africa wanaficha nje.
 
Jamaa anaonekana alikuwa anapenda kipapa kama mimi...safi sana
Hapo utakuta ananuka mdomo,madikteta wengi huwa na uwezo MDOGO sana wa kufikiri ukipima IQ test,pia tabia zao ufanana,ngono,ushirikina, uoga,kutojiamini,ubinafsi,wana roho mbaya level ya PhD, kujua kila kitu one man show kumbe ni zero brain, hawashauliki,. Ilitakiwa kaburi lake lingefungwa mnyororo hii huwa ni Picha itumikayo kuonyesha huyu alikuwa ni mtu muovu sana.
 
We koma we rais wetu ni mtu wa watu uctegemee Tanzania kumchukia magufuli ni kiongozi imara na anajua akifanyacho hasa kipindi hiki cha vijana wajuaji
 
Si ajabu kumkuta peponi, maana njia za Mungu si njia za mwanadamu (Mungu si Athuman). Pengine alitubu kweli na kuiamini injili kabla ya kifo chake
Imeandikwa hata makahaba watatutangulia mbinguni means wakitubu ya kale yanafutwa
 
Back
Top Bottom