Si ajabu kumkuta peponi, maana njia za Mungu si njia za mwanadamu (Mungu si Athuman). Pengine alitubu kweli na kuiamini injili kabla ya kifo chakeJahanamu yeSlaha ndipo makazi yake....
Hakukosea yule RAIS wa Ufaransa aliposema hili..Mwafrica ni mwafrica tu,starehe na ngono
Mbona ashasababisha misafara kibaooo.....Na wetu kwanini asifanye hivi.
Jamaa anaonekana alikuwa anapenda kipapa kama mimi...safi sana
Akuoe au?!Na wetu kwanini asifanye hivi.
Zipo Google nyingi tuPicha Basi
Ni kuukimbiza upepo hadi dikteta amini siku za mwisho wa uhai wake alijutia sana kuukimbiza upepo hakuona faida yakeHaya ni mabaki ya swimming pool inavyoonekana leo aliyojenga kwenye jumba lake kijijini alikozaliwa... imejaa maji ya mvua yameota mpaka ukurutu wa kijani kwa sababu hakuna mfanyakazi wa kusafisha hiyo swimming pool. Hivi vyeo vinapita tu jamani...
Source: Daily Mail Newspaper
Ndo ulipofikia uwezo wetu jumlisha na visasi,wakoloni weupe walituletea maendeleo, hawa weusi wanaturudisha nyuma kimaendeleo wanaiba Africa wanaficha nje.Mwafrica ni mwafrica tu,starehe na ngono
Hapo utakuta ananuka mdomo,madikteta wengi huwa na uwezo MDOGO sana wa kufikiri ukipima IQ test,pia tabia zao ufanana,ngono,ushirikina, uoga,kutojiamini,ubinafsi,wana roho mbaya level ya PhD, kujua kila kitu one man show kumbe ni zero brain, hawashauliki,. Ilitakiwa kaburi lake lingefungwa mnyororo hii huwa ni Picha itumikayo kuonyesha huyu alikuwa ni mtu muovu sana.Jamaa anaonekana alikuwa anapenda kipapa kama mimi...safi sana
Na siyo ngono salama, ngono zembe.Mwafrica ni mwafrica tu,starehe na ngono
Yaani kila siku alihudumia wakevzake..mmmhHakuna hata picha,,hiyo ya kuleta foleni imenichekeshaa
Imeandikwa hata makahaba watatutangulia mbinguni means wakitubu ya kale yanafutwaSi ajabu kumkuta peponi, maana njia za Mungu si njia za mwanadamu (Mungu si Athuman). Pengine alitubu kweli na kuiamini injili kabla ya kifo chake