The Different Between 1900s and 2000s

The Different Between 1900s and 2000s

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

a9cab9fc3dbb02a98df53263e05ac1e6
 
heee umeibukia wapi wewe mbona sio uliyetuma post au una two IDs
Au umelamba FOMA mbona povu linakutoka?
 
Dah...hii lazima ni product ya division 5!!

"The different between...." !!!!???@#$
 
Hii picha moja ya kushoto chini naona kidogo inautata au ndo wale jamii ya kaka poa maana hawa huwa ni jambo la kawaida kwao
 
*Nilimaanisha difference, anyway div 5 mbona mwendo tu, si ntaburuza dala dala tu.

utata upo kwa huyo dada yeye anaendana na picha gani hapo ndo mana haijaeleweka typing error haina tabu
 
wapoti na makubazi huyo wachini kushoto ni mwanaume,anaitwa Conchita Wurst, anatoka Austria, yeye ni mshindi wa Eurovision Song Contest ya 2004
 
Hilo Shoga nalionaga kwenye Finest Living Promo ya kipindi cha Fashion.
768px-Conchita_Wurst%2C_ESC2014_Meet_%26_Greet_08_(crop).jpg
 
Haya ni mabadiliko makubwa,wanaume wanakuwa wanawake na wanawake wanakuwa kama wanaume in good faith lakini
 
Back
Top Bottom