THE DIASPORA! Life is a gamble; win some, lose some

Kuna taarifa ya hivi punde soma tenaa huo uzi wa mwishoo
Doh,naona bwawa lishaingia luba...watu walitaka kuja inbobo kupata no ya bi Z waanze ku mingle..ndo basi tena
 
Lara mwishoni huwa unatupeleka puta ilimradi story imalizike,vibaya hivyo..
Mwisho huwaga unakujaga kwa MKUPUO, haujagi kwa style, kuna habari ya hivi pundee umeipataaa? Some uzi wa mwisho nim update.
 
Fast-paced and crackling with wit, this classic anthology shows why lara1 is the unchallenged JF champion of story telling.
 
Hahahahaaa nimecheka sana kwenye game ya Z vs Mghana,bibie alivyokuwa na kikoko akaona bora auze game.
Kurudi home mCape Verde nae anataka....hahahahaaa
Can't wait for the AVERAGE JOE NEXT WEEK....
Asante lara 1,kwa sisi tusio na out at least tuna pa kupozea moyo weekends.
 
Mwisho huwaga unakujaga kwa MKUPUO, haujagi kwa style, kuna habari ya hivi pundee umeipataaa? Some uzi wa mwisho nim update.
Mmh,nimeiona Mungu amtangulie na hio mimba,amlee mwanae,maana kama ujana tu kashaula vya kutosha
 
Tunataka na THE BIOGRAPHY OF LARA 1,, the main villain anakufa, afi..

Hahahaaaa! LOADING, ngoja kwanzaaa nijipange maana mtakuwa mnaitumia kama fimbo kuninyamazishaaa.
 
Lara1 katika ubora wako tena..
Amazing you made my weekend..
 
Jamani kweli JF kiboko mwenzenu nimefuatilian huu uzi weeeeeeeeeeeeee nimesoma karibu kila comment lakin waapi sijaambulia chochote! labda ndo athari za kukaa jukwaa la siasa kwa mda mrefu na mambo ya hapa kazi tu! du
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…