THE DIASPORA! Life is a gamble; win some, lose some

Maisha Ni maisha @lara1 ukiyapata yatumie.....
 
Mmh babu wa kili hapana kwakweli,watu wanamoyo compromising everything for good life...
I wonder kwanini mange hakujichukulia kibabu maana kaangukia pua pale kwa lance
 
Read between the lines, ungesoma kati kati ya mistari ungengamua mtoto wa waziri alinila kishkajiii tu sio sanaaa. Hahahaaaaaaaa!
Nami nifanyie kishkaji kama mtoto Wa waziri

Serious client,,
 
Bado tunawasaka nyie ma drug dealers

Your days are numbered
 
lala mpaka sasa umeshaandika vitabu vingapi?
 
Mmh babu wa kili hapana kwakweli,watu wanamoyo compromising everything for good life...
I wonder kwanini mange hakujichukulia kibabu maana kaangukia pua pale kwa lance
Mange anapenda sifa kuliko kuangalia mustakabali wa maisha yake.
Angejichukulia kibabu na show of angefanyaje?
Shoga hebu tuyaache haya tusije kumtibua nyongo Lara (si unajua tena?) akaacha kutumalizia story maana ninavyoisubiri kwa hamu acha kabisa.
 
Hahahaa bye Felicia
Sawa uniletee mzungu ila sio kile kibabu cha kili jamaniii, unaweza pata murder case...
Shoga na umbea wangu wote sikijui hicho kibabu cha KJ!!!
Hebu tupiamo tupicha au nipe a/c ya insta nikajionee hayo maajabu ya Dunia na mie....lol
 
L Laraaaaa,bin every whr,done evry thing!.
.story imetulia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…