The Death of Prof. Malima 1995

Status
Not open for further replies.
ni historia nzuri kuijua... shukran

shida yangu na mleta madaz huwa ni ile chuki aliyonayo kwa wasio waislamu...

You can hate half the people in your country or anywhere in this world

Hongera sana kwa kuliona hilo mkuu hata mimi huwa napata tabu sana unapoona mtoa historia hii nzuri anapohusiha udini kwenye maelezo yake
Kwanini tuwe na hisia za udiniudini we waeleze watu kwamba fulani alifanya hivi then fulani akafanya hivi na fulani poia alitenda haya na yale bila kuhusisha imani zao
 
Haya mambo mnayachochea wenyewe kwa ushahidi hafifu na watu wanapoamua kufunguka mnaanza kelele za udini.
 




Anafuata mafundisho ya Allah wa Boko Harama, Alqaeda and the likes

Nyie watoto watoka pabaya mnajua maana ya udini! Au ndio wale wapiga vigeregere makanisani!

Watu elimu hamna! Mkifundishwa bado mnaleta jeuri na kashfa!
Halafu mnajiuliza kwa nini tanzania ni nchi ya mojawapo ktk Top ten zenye UMASKINI duniani!
 


Sasa.lipi bora!

Kupata rizki kwa kuelimisha umma ukweli wa mambo! Au wewe na wazee wako kuuza gongo ya Dr slaa!?

Na kufanya ufuska kama part time.

Majitu kama nyie ni yale makapi ya mfumo kristo na utapeli wenu na huo mfumo uko ukingoni.
 
Nyie watoto watoka mapaya mnajua maana ya udini! Au ndio wale wapiga vigeregere makanisani!

Watu elimu hamna! Mkifundishwa bado mnaleta jeuri na kashfa!
Halafu mnajiuliza kwa nini tanzania ni nchi ya mojawapo ktk Top ten zenye UMASKINI duniani!

I knew it,I knew you won't miss ridiculous topics like these,So much for the fairness!
 

kwa pumba ulizoandika hapo umepotosha hata mafundisho ya yesu ,kua imani ni kitu kimfaacho mtu katika maisha ya ulimwengu.Hata Hitler aliandika Nazi bible na ndicho kilichomsukuma kufanya mauwaji ya watu.
 
I knew it,I knew you won't miss ridiculous topics like these,So much for the fairness!

Teh teh teh!
Thats right galatian!

And if you dont like it!
Kiss my .......!

What do you thing of me!
Some kind of a church priest??

I am a truth seeker! And where ever there is a truth I WILL BE THERE!.

Live with it, or go hang yourself!
 
Teh teh teh Ngiri mwenye mapengo kaangukiwa na komba mlevi ngiri kafa, komba kateguka kiuno.
 
I knew it,I knew you won't miss ridiculous topics like these,So much for the fairness!

'wee ulitaka a-miss ili msieleweshwe au ulitaka a-miss ili iweje ndugu mbona wee upo hapa na unafanya yako muache na yee afanye yake sio ameshakwambia go to kiss his..................hebu malizia kahtaan
 
Last edited by a moderator:

Wewe unashida gani na kanisa katoliki!!??? watu woote unajua ni wa katoliki tu humu JF?? acha chuki kwa kanisa kubwa wewe!! Hata milango ya kuzimu haitalishinda. Mizizi yake mirefu na mikubwa. Ulikuja na utaliacha likivinjali.
 

Kumbe alikuwa mwizi na fisadi.... Au?
 
Mohamed Said mbona kila uzi wako ni udini tu? Sidhani kama kukaa na kulalamika kuhusu dini fulani imependelewa au dini fulani imeonewa kutaleta maendeleo yeyote nchini. Au wewe ni katika wale wanao faidika na hela za Saudi Arabia?

I Agree mkuu. In fact, it hurts to see how people waste their life through this mediocre thinking of things which do not exist. If a person is obsessed with favoring one religion to the extent that he doesn't want to recognize others, then we have the rights to inquire more on why is it so? Inawezekana kabisa kuna hela za bure kama zile Osama alizokuwa anatoa kuharibu amani ya nchi nyingine kwa visingizio vya dini.
 


Yale yale tunayasema siku zote.

Watu hawataacha kuyasema wanayoyajua eti kwa kuhofia lawama za mwenye kulaumu

Basi bora mngekuja na data au hoja zenye mashiko za kuzipinga hoja zilizoletwa mbele yenu??

Mwenzenu kaja na hoja na viambatanisho nyinyi mnakuja na vilio na mapozu??nani atawaskiliza??

Hoja hupingwa kwa hoja siku zote,hoja hazipingwi kwa malalamiko na vilio vya mbwa koko kama hivyo.
 
Story za kutunga nyingine... msitake malima kuwa chambo.. ongeeni ukweli,
 
ucha udini wewe, mna dini nyie?? we unahisi kuna siku mtume atashuka tena hapa ground, alipotea mazima
 

acha unafiki wewe, nani ameshangilia, ila nahisi uliandika haraka haraka unawahi kutawadha mkuu, usijali lakini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…