the day New York City stopped......

the day New York City stopped......

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,958
10934004_838280226213614_6219791389805622933_n.jpg


Picha ya Historia ya mwaka 1925 Paka alivyokuwa amembeba Mwanae mdomoni akivuka moja ya kati ya mitaa ya ya Jiji la New York City Trafiki Polisi asimamisha Magari kwa ajili huyo Paka ili aweze kupita njia. Je bongo inaweza kutukoea namna hiyo? Kwa Polisi wa Trafiki asimamishe msururu wa magari eti kwa sababu ya Paka na Mwanae waweze kupita barabarani? Kwa Tanzania sio rahisi kutokea namna hivyo. Labda itakuwa ni ndoto tu.

the day New York City stopped......

(A policeman in 1925 stopping traffic for a mother cat carrying her kitten in her mouth. Photo: Harry

Warnecke/NY Daily News Archive)
 

Attachments

  • paka wa new york city.jpg
    paka wa new york city.jpg
    149.3 KB · Views: 243
10934004_838280226213614_6219791389805622933_n.jpg


Picha ya Historia ya mwaka 1925 Paka alivyokuwa amembeba Mwanae mdomoni akivuka moja ya kati ya mitaa ya ya Jiji la New York City Trafiki Polisi asimamisha Magari kwa ajili huyo Paka ili aweze kupita njia. Je bongo inaweza kutukoea namna hiyo? Kwa Polisi wa Trafiki asimamishe msururu wa magari eti kwa sababu ya Paka na Mwanae waweze kupita barabarani? Kwa Tanzania sio rahisi kutokea namna hivyo. Labda itakuwa ni ndoto tu.

the day New York City stopped......

(A policeman in 1925 stopping traffic for a mother cat carrying her kitten in her mouth. Photo: Harry

Warnecke/NY Daily News Archive)

Hivi mwaka 1925, Dar ilikuwaje? Naangalia maghorofa hayo at that time, Mzizi mkavu tutafutie picha ya Dar in that year! Just imagine 1925 NY iko hivyo! Kijijini kwenu/kwetu Mzizi Mkavu kulikuwaje!
 
Hivi mwaka 1925, Dar ilikuwaje? Naangalia maghorofa hayo at that time, Mzizi mkavu tutafutie picha ya Dar in that year! Just imagine 1925 NY iko hivyo! Kijijini kwenu/kwetu Mzizi Mkavu kulikuwaje!
Dar mwaka 1925 itakuwa vumbi tupu mkuu ninaona aibu kuweka hata picha.

attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • Dar mwaka 1925.jpg
    Dar mwaka 1925.jpg
    52.4 KB · Views: 441
  • Tanganyika.-Dar-es-Salem-%5Bi.e.%2C-Dar-es-Salaam%5D.-The-new-Africa-Hotel...-painting-artwork-p.jpg
    Tanganyika.-Dar-es-Salem-%5Bi.e.%2C-Dar-es-Salaam%5D.-The-new-Africa-Hotel...-painting-artwork-p.jpg
    84.9 KB · Views: 418
  • DOA_Kaiserliches_Bezirksamt_.jpg
    DOA_Kaiserliches_Bezirksamt_.jpg
    18.5 KB · Views: 525
  • dar hiyo.jpg
    dar hiyo.jpg
    41.6 KB · Views: 451
Naona St Joseph cathedral if I am not mistaken. Looks that was in 1918! Kuna kigorofa nakiona.
 
Kitendo hicho kilichofanywa na huyo traffik kimenigusa na kunisisimua sana,kwa kweli tuna kila sababu ya kuwa na upendo na hawa viumbe.
 
Back
Top Bottom