msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Tokea aingie madarakani rais Magufuli amekuja na style yake mpya ya utawala wake wa kutumbua majipu kiasi kwamba amejizolea sifa nyingi sana hapa nchini na nchi za nje.Kuna baadhi ya mambo mazuri ameshafanya kwenye siku 100 tokea aingie ofisini .
Pia kuna masuala mengine yametendeka na kugubikwa na sintofahamu miongoni mwa wananchi katika siku zake hizo mia moja za ofisini.
Nataka nizungumzie suala la demokrasia ,katika suala hili naona Rais Magufuli ana walakini katika hili la kipengele hichi cha demokrasia. Katika hotuba yake ya awali aliwahi kusema uchaguzi umekwisha sasa tujenge nchi na mimi ni rais wa watu wote huku akiwalenga wapinzani.
Kuna suala la uchaguzi wa Zanzibar hili analijua wazi na lakini anajifanya halijui na hahusiki nalo kiasi kwamba jumuiya za kimataifa wanalifuatilia kwa ukaribu sana .Huku akiwatisha wa Zenj kwa nguvu za kijeshi.
Kitu kingine ni uchaguzi wa mameya katika baadhi ya miji, tumeona figisu figisi zinazo tokea kwani chama chake hawakubali kushindwa kwenye masanduku ya kura ingawaje wananchi wamewakataa.
Mimi naamini utawala bora wa kiongozi yeyote ule katika nchi huendani na demokrasia na sio vitisho kwa wapinzani sabubu kuna mambo mazuri serikali inaweza kuyachukua toka kwa wapinzani katika shughuli za kuongoza nchi.
Mama tulia, utanyooka tu...Kamwe naamin kutoipigia kura CCM nlikuwa sahihi...
Sijawahi jialaumu
NYUMBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUTokea aingie madarakani rais Magufuli amekuja na style yake mpya ya utawala wake wa kutumbua majipu kiasi kwamba amejizolea sifa nyingi sana hapa nchini na nchi za nje.Kuna baadhi ya mambo mazuri ameshafanya kwenye siku 100 tokea aingie ofisini .
Pia kuna masuala mengine yametendeka na kugubikwa na sintofahamu miongoni mwa wananchi katika siku zake hizo mia moja za ofisini.
Nataka nizungumzie suala la demokrasia ,katika suala hili naona Rais Magufuli ana walakini katika hili la kipengele hichi cha demokrasia. Katika hotuba yake ya awali aliwahi kusema uchaguzi umekwisha sasa tujenge nchi na mimi ni rais wa watu wote huku akiwalenga wapinzani.
DEMOKRASIA ZIANZIE NDANI YA VYAMA VYA SIASA,TUONE MFANO.NI NANI KWANZA NA KIKAO KIPI KILIMTEUA MBOWE KUWA KUB?????????????
MWAMBIE KAMA MAALIM SEIF ANAONA HAJATENDEWA HAKI,KWANZA AJIUZULU ASIWE MAKAMU WA RAIS KISHA AENDE MAHAKAMANI.SIMPLEEEEEEEEKuna suala la uchaguzi wa Zanzibar hili analijua wazi na lakini anajifanya halijui na hahusiki nalo kiasi kwamba jumuiya za kimataifa wanalifuatilia kwa ukaribu sana .Huku akiwatisha wa Zenj kwa nguvu za kijeshi.
Kitu kingine ni uchaguzi wa mameya katika baadhi ya miji, tumeona figisu figisi zinazo tokea kwani chama chake hawakubali kushindwa kwenye masanduku ya kura ingawaje wananchi wamewakataa.
Mimi naamini utawala bora wa kiongozi yeyote ule katika nchi huendani na demokrasia na sio vitisho kwa wapinzani sabubu kuna mambo mazuri serikali inaweza kuyachukua toka kwa wapinzani katika shughuli za kuongoza nchi.
Unazungumzia vitu vidogo sana. Wananchi tunataka mabadiliko ya kiuchumi na kijamii ambayo Rais anaendelea kuyafanya. Meya akichaguliwa tena wa Jiji ambaye hana eneo lolote la Utawala wewe unapata nini? Zanzibar ni Nchi yenye Katiba na Tume yake. Rais wa JMT hawezi kuingilia mambo ya Kisheria bwana!
Ni ndoto za mchana kufikiria Zanzibar kuchafuka , nani afanye fyoko ? Magufuri ana mambo makubwa hivi vijambo vidogo vya Znz nA umeya mpelekee Nape
Binti..Mama tulia, utanyooka tu...
Pasuka au kunywa simu ufe ili usiendelee kuwaona hao CCM,haina haja ya kuandika chukua hatua mkuu.Ogopa mtu wa kulipiza visasi ila siku moja atalipwa. Humjui roho aliyonayo.yaan nataman mbingu ipasuke imeze mijitu yote ya ccm yaan siyapenden kama nn nikiyaona nahis kupasuka ccm siku moja utakufa kifo kibaya
Unazungumzia vitu vidogo sana. Wananchi tunataka mabadiliko ya kiuchumi na kijamii ambayo Rais anaendelea kuyafanya. Meya akichaguliwa tena wa Jiji ambaye hana eneo lolote la Utawala wewe unapata nini? Zanzibar ni Nchi yenye Katiba na Tume yake. Rais wa JMT hawezi kuingilia mambo ya Kisheria bwana!
kwa nini hamtaki kuamini maneno yetu sisi kina gogo la shamba pale tulipowaambieni kwamba Makufuli hana ubavu wa kuamua lililo la haki kati ya ccm na vyama vingine?kwa maana nyingine hiyo ndio kuisoma namba yaani kuua upinzaniTokea aingie madarakani rais Magufuli amekuja na style yake mpya ya utawala wake wa kutumbua majipu kiasi kwamba amejizolea sifa nyingi sana hapa nchini na nchi za nje.Kuna baadhi ya mambo mazuri ameshafanya kwenye siku 100 tokea aingie ofisini .