Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,875
Busara tupu ma young bro. Kuna watu akiona tu kitu asichokiamini basi keshapaniki utafikiri kuwa yeye ndiye ana absolute truth. Kumbe dunia hii ya waja ina mengi ambayo hayajui.Jamii ya Kiafrica inakosa logic katika kujadili mada mbalimbali, na hili limekuwa tatizo la muda mrefu sana.
Yaani kwasababu wewe hujapitia kitu fulani au imani yako haikubaliani nayo basi kitu pekee ni kupinga, kwa style hiyo ujinga ni ngumu kumuisha mtu.
Kikija kitu kipokee jifunze, linganisha na kile ambacho ulikuwa unakijua kisha amua kukibeba ama kukiacha mezani, kwasababu kile ambacho wewe hukiamini na hakijawahi kukutokea kuna wenzako kimewatokea.
Wewe pekee huwezi kuexperience vitu vyote duniani hapa, sikiliza na uheshimu ya wengine pia.
Tatizo ni kwamba ana amini hoja zake kuwa ni sawa kuliko za wengine.😅Mkuu kwa namna flani una hoja
Jina la kitabu"the dark side of business" mtunzi Tanzanian DreamMimi nataka jina la kitabu na mtunzi wake ntasoma mwenyewe...?!
Hatua katika mafanikio zipo ndio.
Lakini hakuna utajiri wa kishetani au kichawi.
Kama utajiri wa namna hii upo, kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa kama kina Mo Dewji?
Itoshe kusema wewe ni kipapa na pumzi zinakuhadaaMimi ni Atheist. Atheism sio imani.
Atheism ni kutokuwa na imani ya Mungu au miungu.
Mimi siamini kwenye kuamini.
Sina imani ya Mungu, Miungu, Shetani, Majini au mapepo.
Nashukuru sanaAkili yako inakutosha mwenyewe pambana na hali yako.
Akili zako zinakutosha mwenyewe.
Sina safari ndefu! Safari yangu ya ubilionea ni fupi sana! sababu ninafuata kanuni za ulimwengu wa roho.Una safari ndefu sana ya mafanikio, kafungue biashara mahali pasipo na wateja halafu tumia hizo kanuni za kiroho sali sana au roga sana uone kama utatoboa
Bado hujaelewa somo umetoka nje ya point.! Haimanishi ukifungua biashara kwamba huangalii na location hapana. Utafata kanuni zote za mchakato wa kibiashara.Una safari ndefu sana ya mafanikio, kafungue biashara mahali pasipo na wateja halafu tumia hizo kanuni za kiroho sali sana au roga sana uone kama utatoboa
Basi ni kitambo sanaa....saa hv zmepanda faida ipo sanaa ila mziki wake ni mzito sanaa.Tigo ilikuwa 472.5,vd 470 air ilikuwa inacheza 465-468,halo ni 460
Sina safari ndefu! Safari yangu ya ubilionea ni fupi sana! sababu ninafuata kanuni za ulimwengu wa roho.
Bado hujaelewa somo umetoka nje ya point.! Haimanishi ukifungua biashara kwamba huangalii na location hapana. Utafata kanuni zote za mchakato wa kibiashara
Unless utumie neno jingine tofauti na KUBISHA, haueleweki kidogo hapa.Mada zenye mashiko lazima zilete ubishani. Ni hulka kabisa ya binadamu kubisha...
Sasa kitu kama uchawi watu wasibishe? Haiwezekani aisee...
Poa poa! Nilisema nitakuja kuandika historia yangu hapa ya From the Pit to the Pinnacle..! Utajifunza mambo mengi ya kiroho kwamba ulimwengu wa kiroho ni halisi na huwa haudanganyi na majibu huja kwa wakati sahihi( wale wa rohoni wameshanielewa).Kwa maneno haya nimepata picha kukuhusu tayari jinsi akili zilivyo wewe ni mtu mmoja mwepeso sana kutapeliwa na manabii wanaoombea watu utajiri, na wale wa mabango wamasema wanasafuaha nyota ya biashara
Unaona matapeli wanavyocheza na akili zenu. Sasa ukifuata kanuni zite za mchakato wa kibiashara huoni kuwa hizo ndio zinakufanya ufanikiwe
Cheza na hizo kanuni achana na mitishamba ya matapeli
MI ni mvivu kuandika ila anachosema mtoa mada namuelewa vizuri haya mambo yapo vizur sema ni wachache yanawatokeaOne day utupe kisa cha maji kuwaka moto