Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Deal hapa ni kwenda kuongea na Nchimbi atupe kama billion tatu ya chama baada ya miaka miwili tuajiri vijana kama mia, tulipe deni lao kwa interest ya 10% na biashara ni mali ya CCM 70% on profit.Sawa Richmond
Hakuna Mungu wala Shetani anayetoa utajiri.Wapo matajiri wanaamini katika mungu - Mungu akawapa utajiri
Wapo matajiri wanaamini katika shetani(iblis) - iblis kawapa utajiri
Wapo maskini wanaamini katika mungu - Mungu hajawapa utajiri.
Wapo maskini wanaamini katika shetani(iblis) - shetani hajawapa utajiri.
Ibilisi Hayupo.Maana yake ni kuwa si kila aaminiye katika mungu anautaka sana utajiri wengine wanataka mengine tofauti na utajiri the same applied to iblis, Kwa shetani watu wanafuata vingi sio utajiri tu.
Alafu aliekuambia waganga wote maskini ni nani?.. Inaonekana unawajua sana waganga wa kienyeji eee kwanini usiwaulize kuhusu uwepo wa iblis ?
Light side is the best,it can be a long way but its safe in longrun.Okey, Kwa mtu anayepitia changamoto kibiadhara , ni njia ipi kiroho unaweza mshauri ili aweze kujikwamua
Sawa Mkuu.Hakuna Mungu wala Shetani anayetoa utajiri.
Utajiri hautolewi na Mungu wala Shetani.
Utajiri unapatikana kwa nguvu kazi na akili za binadamu.
Ibilisi Hayupo.
Mada hapa ni kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi, kishirikina, nguvu za giza n.k#uelewa wako uko chini sana.
_bas hakuna mwalimu mkweli. maana hao walimu ndo wanafundisha watu ambao baadae wanakua madaktari
Kina Bakhressa na Dangote Hawafiki level za kina Elon musk kwa sababu vyanzo vyao vya mapato bado havijafika level za Elon musk._utaratibu wakufanikiwa upo katika mfumo wangazi pia mafanikio yanakikomo chake kati yamtu mmoja namwingine
-jiulize kwann hao unaowaita wakina dangote na akina bakhresa mbona hawafiki level zaakina elon musk..? kwaio unatakiwa kujua hata ww najamaa yako mkipewa utajiri sawa baada yamuda lazima kuna mmoja atakua juu mwingine atakua chini.
Uongo.matajiri wawili hawana tofaut na masikini wawili
Infropreneur,naheshimu mchango wako na mtazamo wako,wewe una imani gani kati ya hizi, Muslim,judism, Hinduism, Sikhism, Buddhism,christianity au atheism? Tuanzie hapo kwanzaHakuna Mungu wala Shetani anayetoa utajiri.
Utajiri hautolewi na Mungu wala Shetani.
Tajiri wa mwisho kwa maana gani?Matajiri wawili wana tofautiana kiwango chao cha utajiri. Ndio maana kuna tajiri wa kwanza na wa mwisho.
Kwenye list ya matajiri kuna yule tajiri wa kwanza hadi wa mwisho.Tajiri wa mwisho kwa maana gani?
Kuna mtu alishauri niweke muendelezo kwny ile post ya kwanza,sijajua na ww unamaanisha hivyo?ila wadau humu wakasema nitupie kila episode na post yake.Uzi mzuri ila mpangilio wa uandishi changamoto
Kwanini usiweke iyo miendelezo kwenye mtiririko mzuri kwa kuedit uzi kila unapotaka kuendelea?
Infropreneur,naheshimu mchango wako na mtazamo wako,wewe una imani gani kati ya hizi, Muslim,judism, Hinduism, Sikhism, Buddhism,christianity au
Mimi ni Atheist. Atheism sio imani.atheism?
Kuna mtu alishauri niweke muendelezo kwny ile post ya kwanza,sijajua na ww unamaanisha hivyo?ila wadau humu wakasema nitupie kila episode na post yake.
Kwenye post ya kwanza mkuuKuna mtu alishauri niweke muendelezo kwny ile post ya kwanza,sijajua na ww unamaanisha hivyo?ila wadau humu wakasema nitupie kila episode na post yake.
Kil lakheri hapo kitandaniDeal hapa ni kwenda kuongea na Nchimbi atupe kama billion tatu ya chama baada ya miaka miwili tuajiri vijana kama mia, tulipe deni lao kwa interest ya 10% na biashara ni mali ya CCM 70% on profit.
Nikifa watajijua, lakini katika uhai wangu hiyo biashara lazima itengeneze sio kwa hadithi hizi uchawi.
Huko kwenye siasa walogane tu.
Lakini hapa hakuna hadithi hii mada mimi hata sikufika nusu ya hadithi za mleta mada (na nilishamuomba msamaha sitaki kuingilia hadithi zake).
Otherwise I contribute on serious business topics not nonsense.
MaCCM yaache kuwapa hela wamanga tu hata sisi wabantu tunauwezo wa kuzalisha kwa hela zao.
Otherwise ain’t nobody interested na mtiririko wa imani za wachangiaji wa hii mada; wengine hiyo elimu hatuna (sipingi) whatever the arguments got this thread thus far.
Huyu ndo mchawi anaechukua pesa kwenye droo za mbao,hampendag watu wapate mwangaHuu ujinga ungefaa kwenye majukwaa mengine.
Like seriously sasa hapa kuna mjadala wa biashara au ujinga tu.
Yaani jukwaa la biashara badała ya kuongelea business objectives, strategies, monitoring of strategies, budgets, marketing.
Tuzungumzie huu upuuzi kama mambo ya biashara.