The dark side of business

Huo upande wa giza ndio wenye tija. Waliofanikiwa wooooooote, wamepitia huo upande wa giza. Mtu asikudanganye eti ni Mungu tu!!! Ila ujue mafanikio ni siri na siri ndio mafanikio yenyewe.
Ni kweli wapo walitoboa kwa nguvu za giza lkn pia wapo waliotoboa kwa kumtegemea M-ngu, light side is the best
 
Pale kwenye search andika"why G-d and not God then search
Nimepitia mkuu ila kwa nilivoelewa msingi wao ni katika zile ten commandments katika ile sehemu inasema usilataje bure jina la bwana mungu wako kama nipo wrong elezea kidogo end hii website mbona ina lengo la kuwapa maarifa wa Jewish only?
 
HAwa washenzi toka Asia wote ni parasites , Mungu anisaidie niwe rais ,nafukuzia hizi simbilisi toka Asia zote .
Natumia policy ya Idd Amin
 
Nimepitia mkuu ila kwa nilivoelewa msingi wao ni katika zile ten commandments katika ile sehemu inasema usilataje bure jina la bwana mungu wako kama nipo wrong elezea kidogo end hii website mbona ina lengo la kuwapa maarifa wa Jewish only?
Kwa sehemu uko sahihi,jina la M-ngu linatajwa kwenye sacred issues tu zinazomhusu,ila kwny mambo mengine inatakiwa atajwe kwa codes
 
Tatizo hela zingine zote duniani hawajaweka "in god we trust" kwa hiyo shetani akiio a tuu dollar nguvu inakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…