ukabu JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 212 Reaction score 68 Jun 21, 2014 #1 this is for legal use only...pd and tg codes for only for 6000/ only..ni PM if unahitaj... kaibu
A alikhalef JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 717 Reaction score 75 Jun 21, 2014 #2 Kaka mtandao gn?
ukabu JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 212 Reaction score 68 Jun 21, 2014 Thread starter #3 nikisena ligal purpose maana ake mtandao wowote..
W Walas Ba JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 3,399 Reaction score 1,746 Jun 21, 2014 #4 Kweny swala la kuelewesha hauko poa mkuu. Sasa kama n legal kuna haja gan mpk tuende pm! Alaf pia husem improvement yyte
Kweny swala la kuelewesha hauko poa mkuu. Sasa kama n legal kuna haja gan mpk tuende pm! Alaf pia husem improvement yyte
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,337 Reaction score 2,907 Jun 21, 2014 #5 6,000 una maana gani mbona maelezo hayajitoshelezi. Ukilipa hiyo pesa utapata nini na kwa muda gani?
ukabu JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 212 Reaction score 68 Jun 21, 2014 Thread starter #6 suala ni kwamba hum jamvin kuna watu washajiona ni ma CEO wa tg na other vpns .ukitaja tu hizo ishu washa waka ndo maana ili niwaridhishe i make things brief.mambo yote namalizia PM.na mambo yanaenda kiswadacta
suala ni kwamba hum jamvin kuna watu washajiona ni ma CEO wa tg na other vpns .ukitaja tu hizo ishu washa waka ndo maana ili niwaridhishe i make things brief.mambo yote namalizia PM.na mambo yanaenda kiswadacta