The country is heavily protected by Special Forces tuko Salama

The country is heavily protected by Special Forces tuko Salama

Hao special forces wanalinda nchi au interest za mafisadi na majizi?

Ni Tanganyika pekee ndio hadi sasa nafahamu IGP na DGIS ni mabilionea kwa sababu ya mlungula kutoka kwa mafisadi na majizi.
 
Maswali yanayotakiwa kujibiwa haraka na kwa uwazi kwa watanzania ni haya yafuatayo;
1.Ni nani aliagiza watu wapigwe risasi na kuuawa vile?
2.Wapigaji risasi wale ni wakina nani na wapo wapi?
3.Ni kwanini uchaguzi ufanyike kwa namna OVU kwa kiwango kile?
4.Watu waliokufa wapo wapi?
5.Wataongozaje taifa la watu wasiowataka?
6.Ni nani anayeteka na kuua watanzania?
Waliotekwa wapo wapi?

Haya maswali wayatafakari na wayazingatie
 
We purchased the deadly weapon and is already in Tanzania 30units. Sisi hatuangalii nchi ngapi wanazo sisi tunawezesha jeshi letu litumie a very latest technology
Oh fuk off, tz doesnt have money to purchase even f-106, the old stuff, so give me a break
 
Watanzania husani vijana tuendelee kuchapa kazi nchi iko salama kwa vyombo vya ulinzi jinsi vinavyofanya kazi kwa sasa mpaka kwa muuza kahawa na mcheza bao mtaani.

Nimesikia mwanaharakati mmoja anasema bunduki hazina Risasi ndugu za kuambiwa changanya na zako mwenzio yuko Marekani wa kuicha Familia yako ni wewe kwa kifupi yule Dada ni Kinjekitile Ngwale wa kizazi hiki.

Yaani zile Assault rifles na sophisticated weapons kama AK47, M5 ziwe hazina Risasi mnaenda kufa vibaya sana naona 1,000,000 mkimwaga mchuzi mwekundu kwenye Lami.

Achana na F16 kuna mzigo wa F-35 umeingia juzi moja silaha nzuri sana.
Haueleweki unaandika kama umekalia muhogo wa Muliro.
 
Nadhani wewe ni miongoni mwa watanzania wachache ambao mmeifikisha nchi hapa ilipo, either kwa kujua ama kutokujua,
Lakin kwa akili hii na uwezo wako wa kufikiria, nchi ina safari ndefu sana
 
We kweli mbumbumbu, AK47 ni sophisticated weapon? Halafu hamna jeuri ya kuwa na F-16 achilia mbali F-35. Naona unaota ndoto za mchana.
Sidhani kama hata anajua F-35 ni nini sana sana amejiandikia tu, anafikiri hiyo nayo inaagizwa kama Abdul anavyoagiza malaya kule Masaki.
 
Back
Top Bottom