The country is heavily protected by Special Forces tuko Salama

Watanzania husani vijana tuendelee kuchapa kazi nchi iko salama kwa vyombo vya ulinzi jinsi vinavyofanya kazi kwa sasa mpaka kwa muuza kahawa na mcheza bao mtaani.

Nimesikia mwanaharakati mmoja anasema bunduki hazina Risasi ndugu za kuambiwa changanya na zako mwenzio yuko Marekani wa kuicha Familia yako ni wewe kwa kifupi yule Dada ni Kinjekitile Ngwale wa kizazi hiki.

Yaani zile Assault rifles na sophisticated weapons kama AK47, M5 ziwe hazina Risasi mnaenda kufa vibaya sana naona 1,000,000 mkimwaga mchuzi mwekundu kwenye Lami.

Achana na F16 kuna mzigo wa F-35 umeingia juzi moja silaha nzuri sana.
Kwa maslahi mapana ya nchi ,Samuya aachie ngazi ili tufocus kwenye maendeleo ,akiendelea kushupaza shingo means kila sikukuu Public holiday itakuwa maandamano mpaka miaka mitano yake iishe! Yaani D9 watu wanatoka Xmas watu wanatoka ,New year watu wanaandamana ,12 Jan watu wanaandamana ,Idd el fitri ,muungano watu wanaadamana ,77 ,88 ,nyerere day and then inaanza tena in a row kwa miaka yote mitano.
 
Watanzania husani vijana tuendelee kuchapa kazi nchi iko salama kwa vyombo vya ulinzi jinsi vinavyofanya kazi kwa sasa mpaka kwa muuza kahawa na mcheza bao mtaani.

Nimesikia mwanaharakati mmoja anasema bunduki hazina Risasi ndugu za kuambiwa changanya na zako mwenzio yuko Marekani wa kuicha Familia yako ni wewe kwa kifupi yule Dada ni Kinjekitile Ngwale wa kizazi hiki.

Yaani zile Assault rifles na sophisticated weapons kama AK47, M5 ziwe hazina Risasi mnaenda kufa vibaya sana naona 1,000,000 mkimwaga mchuzi mwekundu kwenye Lami.

Achana na F16 kuna mzigo wa F-35 umeingia juzi moja silaha nzuri sana.
Kama tungekuwa salama watu wangetekwa kwa kiwango kile bila majibu? Ama mlidhani tutaendelea kuwa waoga kwa muda wote? Tuko tayari kufa, mbaki nyie mlio tayari kutekwa na kuwekewa viongozi bila ridhaa ya umma.
 
Nigga pls, unajua what is sf? Unajua namna wanakuwa deployed?

Eti f-35? Unajua nchi ngapi mpaka sasa wanazo?

Stop talking trash here bro
We purchased the deadly weapon and is already in Tanzania 30units. Sisi hatuangalii nchi ngapi wanazo sisi tunawezesha jeshi letu litumie a very latest technology
 
Watanzania husani vijana tuendelee kuchapa kazi nchi iko salama kwa vyombo vya ulinzi jinsi vinavyofanya kazi kwa sasa mpaka kwa muuza kahawa na mcheza bao mtaani.

Nimesikia mwanaharakati mmoja anasema bunduki hazina Risasi ndugu za kuambiwa changanya na zako mwenzio yuko Marekani wa kuicha Familia yako ni wewe kwa kifupi yule Dada ni Kinjekitile Ngwale wa kizazi hiki.

Yaani zile Assault rifles na sophisticated weapons kama AK47, M5 ziwe hazina Risasi mnaenda kufa vibaya sana naona 1,000,000 mkimwaga mchuzi mwekundu kwenye Lami.

Achana na F16 kuna mzigo wa F-35 umeingia juzi moja silaha nzuri sana.

Tanzania haiwezi kuuziwa F35 pia haina F16. Acha ujinga.

Angalia partners, wanunuzi wa F35 duniani hazizidi nchi 20 zilizoendelea na ziko karibu na USA.
 
F—16 zilikuepo wakati wa vita vya kagera ndo wanazitumia ku maneuver kwenye event za uhuru na muungano pale Taifa endelea kubisha hivyo hivyo ila Mange akisema umlale mama yako unakubali

IMG_0530.jpeg
 
..hakuna la nchi za Kiafrika lina silaha kuzidi jeshi la Misri, lakini wakati wa Arab Spring wanajeshi walinywea kwa wananchi.
Polisi na Wananjeshi wa Tanzania unafananisha na wa nchi nyingine za Africa bado Dec 9 hakuna jiwe ambalo halitageuzwa
 
You just make up stuffs? Nipe ushahidi Tanzania kununua F16, F35.
Ushahidi? Vifaa vya jeshi vina ushahidi? Unaleta mambo ya mange Jeshini? Mizigo yao huwa wana clear wenyewe
 
Partners waliouziwa hizo ndege ni matter of public records za USA.

Juzi tu MBS alivyoenda USA ndio wamekubali kumuuzia F35 kwa vigezo, masharti kibao.

Sababu ile technologia unaweza kumpa Urusi, China.
 
Partners waliouziwa hizo ndege ni matter of public records za USA.

Juzi tu MBS alivyoenda USA ndio wamekubali kumuuzia F35 kwa vigezo kibao.

Sababu ile technologia unaweza kumpa Urusi, China.
Shut…… tthe………fuckk ………upp!
 
Umeshindwa kujibu hoja za wazalendo, wanaothamini maisha, uhai wa kila Mtanzania kuliko familia ya Samia, Kikwete kula kodi, jasho let lote.

Wewe unatetea hizi familia kuua Watanganyika wakati ndugu zako pia wanaathirika.
Ndugu wa nani wameathirika? Mi siendeshwi na propaganda za Mange Kimbambi
 
Mmeishiwa jeuri ya kupiga mkwara kwenye tv, ile ni luxury hamtakuja tena kuipata. Where is murilo na mikwara yake... Hahahaha hapo ICC hawajatimba, mafi yenu lazima yasokotwe
Unafirimbwa wewe! Safari hii Hadi jeshi limeingia kazini toa pua yako utangulizwe...fala wewe tupo kimya tunasubiri utoe kinyeo chako siku hiyo tukuonjeshe the real battle. Unadhani hii ni rogue state siyo!
 
Back
Top Bottom