Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
Je hiyo gharama ya uzalishaji ina include expenses ya kui market na advertisements ya hiyo S5 ? manake hawa Samsung nashindwa ku imagine wanatumia kiasi gani kwa kutangaza kwenye tv, mabango ya barabarani, majarida na magazeti, roadshows, etc, etc.. tena dunia nzima, labda in Tz huwezi jua lakini waulizeni waliopo nje..
bajeti ya mwaka jana ilikua kubwa kuliko bajet ya nchi yetu walitumia 12bn usd kutangaza bidhaa zao.