The Congo may be poor but the men dress to impress

The Congo may be poor but the men dress to impress

Congo Mwanaume ni mtu wa kijiremba na kivaa vizuri na Mwanamke ni mtu wa kazi...Tazama wanawqke wengi wa Congo wapo nchini wakifanya biashara ila wanaume wa wapo nchini wakifanya mziki..
 
Huu uvaaji kiboko...mwanaume?! kabeba mwavuli wa njano, suti ya pinki, mingine sijui migolole? Mapozi mengine kwenye dampo!
 
Hahahahaaaaa eti Kikwete.....wakati mwingine unaweza kujifanya mjuaji hadi ukoseee, sasa kweli unafananisha mavazi hayo na ya Kikwete??? Kweli wewe kichwa maji
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Halafu hawa jamaa wanawategemea sana wanawake.

Mwanamke anadamka, kuelekea kwenye mihangaiko.

Nyuma analiacha dume limelala, halina faida yoyote.

Dume linaegemea kila kitu.

Wanaume wa kiCongo watu wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom