Sipati picha ingekuwa vp endapo tangazo lake la cku za karibuni la tgo la kurudishia hela za kununua sim card...lile la kwenye radio ingekuwa ndo kwenye TV!
Kiukweli kundi hili limepoteza kabisa umaarufu liliokuwa nao mwanzoni. Na hiyo ndiyo mshahara wa kuishabikia CCM.
Pia wakome kutukana mwanzo wao (kutukana IPP na Mengi kwa hisani ya Manji).
Najadili kundi na si individuals Noel jaribu kuwa mwelewa !!!na si kila akukosoaye ana wivu.kwa mfano najua wazi masanja na joti wanafanya vizuri nje ya kundi na kama watu binafsi lakini kundi kama kundi halina mvuto wala msisimko tena kama awali