leme
JF-Expert Member
- Mar 11, 2010
- 351
- 162
Unatafuta perfect man wakati haupo perfect.
Kama wewe humuoni kama yupo perfect jua wenzako wanamuona perfect. Ndege wafananao huruka pamoja.
Well said Bulldog... pata windhoek bariiid ntalipa
Unatafuta perfect man wakati haupo perfect.
Kama wewe humuoni kama yupo perfect jua wenzako wanamuona perfect. Ndege wafananao huruka pamoja.
yaani cjui nikupe zawadi gani? hebu chagua genious
Kumpata Mr. Right now ni ngumu sana sana. Cha msingi wkt ukifika km unania ya kuishi kwenye ndoa kweli, Usiangalie pesa wala sura we angalia tabia. Km mtu tabia yake inakuvutia, anajituma kimaisha cent ya chakula inapatikana basi vulia maji nguo uoge. Uzuri wa wanawake they can Learn how to love sio km wanaume
Nipe nyumba kubwa
Well said Bulldog... pata windhoek bariiid ntalipa
kweli all gud men a married. mm staki mzuri wa sura ila tu awe na pua ndefu maana nyumbani watanichamba na atanihalibia pua na wanangu,coz pua reception tosha