PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,766
- 26,158
Ndugu,
Sipo hapa kwa mizaha wa mabishano.
Unajua sababu ya kanisa katoliki Tanzania kuanzisha vyuo vikuu kwa kubadili baadhi ya shule na vyuo vyake?
Unafahamu sababu ya makanisa mengi leo ya kiroma kujengwa na waumini wenyewe badala ya wa awali?
Uchumi wa kanisa letu now umeyumba sana.
Nyakati tunazoishi sasa ni za uchumi wa kila mtu kushiriki na kuchangia. Siyo zama za uchumi wa kufanyiwa na kuletewa kila kitu. Sasa hivi mmeshafundishwa kila kitu na kanisa mmekabidhiwa bado mnataka misaada kutoka kwao ili kuwaendeshea makanisa yenu? Hata wao makanisa yao yalijengwa na kuendeshwa kwa nguvu za waumini, ninyi mnakabidhiwa na kutakiwa mfanye kama wao mnaanza kulialia. Mabadiriko ya kinyakati hayamaanishi kufilisika. Au mmarekani alivyo busy kutafuta mafuta na rasilimali nyingine duniani kwa ina maanisha kwake amemaliza?