uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Kama una elimu ya hii kitu kwa nini usipige hela bongo! Kuna vyuo wanafundisha?Wabongo wengi wanaamini uchawi, kitu ambacho duniani hakipo. Hakuna uchawi wowote ule, nenda Las Vegas magic shows kuna watu wanafanya mambo huwezi kuamini, tena wengine mbele ya macho yako, ila ni ujanja tu, ukijua wanachofanya utajiona mjinga sana, wengine wanachanganya techniques zao na technology kukuchanganya macho, ila zaidi ya hapo hakuna kingine chochote, hakuna kitu kama uchawi. Nitawashauri pia watanzania wengi wasikimbilie kufikiria kila kitu ni uchawi.
Kama una elimu ya hii kitu kwa nini usipige hela bongo! Kuna vyuo wanafundisha?
Ok, poaSina interest kwenye magic mkuu nina kazi nayoipenda sana. Tafuta kwenye internet utaona wanachokifanya hawa jamaa, mtu yeyote anaweza jifunza na akafanya vizuri tu.
Daaah watu wajanja kwenye kutafuta pesaUchawi na mazingaombwe ni mambo ya Ujanja ujanja tu...
[emoji116][emoji116][emoji116]