The boss: Very interesting

Hahaa bora wewe umeuliza
very interesting ina maana nyingi labda interesting funny
au interesting weird
au interesting unbelievable.....au simply ni 'too marudio ' to say anything ...

ni almost sawa na mtu kusema 'noted' au 'no comments for now'

na hii thread ni very interesting pia...
 
Basi sawa
 
Afadhali ya huyo.Je yule mwingine angekuambia "leta picha ya hiyo very interesting"?Si ungezimia mkuu?
 
bro kabanga mmefikia wapi na huyu she?
kiwatengu, nilibanwa sana na kazi za vijijini ambako hata network ilikuwa issue....naamini sasa MankaM tutamalizana vizuri, maana anajua kuwa namuhitaji, na anajua kuwa mimi ni ''mkubwa ambaye sijatumika'', hili hata janeth1 analijua
 
Last edited by a moderator:

hahahaaaaaaaa komaa ticha wangu afu mdogo wangu huyo fanya mambo fasta....
 
Last edited by a moderator:

JF ni nouma. Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…